Ingekuwa uislam ndo dini ya kuleta amani basi nchi za kiislamu leo hii ndo singekuwa mfano wa Amani. Lakini matokeo yake ndo nchi zinazoongoza kwa machafuko na mauaji na ukandamizaji wa haki duniani. Upande wa pili nchi za Kikristo ndo zimekuwa mfano mzuri wa Kuigwa duniani
Kuna siri gani kwa marasta. Mbona wanapendwa sana na mademu?licha ya wengi kuwa wachafu na maskini lakini wanawake wakila aina wanawashobokea. Nipeni siri
Mie si mpenzi wa WCB lakini ukweli usemwe toka jamaa ameanza kutoa amapiano zote zimehit kuliko kawaida. Hakuna msanii anaeweza kutoa ngoma back to back kama alivyofanya jamaa kuanzia Tajiri,Tunakikao,beer nyama, Sawa na sasa Kibango inayosumbua mtaani. Myonge myongeni lakini haki yake mpeni.
Kuna hii system ya kuexchange iPhone ama kutop up.
Hii watu wanapigwa sana kwani gharama zinakuwa juu mno kuliko inavyotakiwa. Mfano 14 plain kwenda 15 plain ni tzs 1m hii ni bei ya simu mpya kabisa dukani.
Huu ni utapeli wa kiwango cha juu mno.
Kwa speed aliyokuja nayo mwaka uliopita basi nilitegemea atoe hit song nyingine kali kuizid beer nyama lakini wapi! Hizi nyimbo zake mbili ni mbovu na hata mixing haikufanyika kwa usahihi.
Arudi Tena studio.
Bondia hassan mwakinyo ashinda kwa KO katika round ya 7 baada ya kumbwaga bondia was Ghana Elvis..... duh kwa Hali hii twaha kiduku atachapika vibaya...
Update. Label Ina jaribu kmbembeleza msanii abaki kwa sababu amefanya vizuri huu mwaka hivyo amewaingizia faida, ila msanii na upande wake wanasisitiza anataka aondoke kwani kwa mda aliokaa hapo basi ulitosha sana kumfanya awe star.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.