Gharama ya kubadili simu (top up) kulingana na pesa ya kununua simu mpya kwa watumiaji wa iPhone ni utapeli

brownboy

Senior Member
Jun 10, 2023
100
266
Kuna hii system ya kuexchange iPhone ama kutop up.

Hii watu wanapigwa sana kwani gharama zinakuwa juu mno kuliko inavyotakiwa. Mfano 14 plain kwenda 15 plain ni tzs 1m hii ni bei ya simu mpya kabisa dukani.

Huu ni utapeli wa kiwango cha juu mno.
 
Kuna hii system ya kuexchange iPhone ama kutop up. Hii watu wanapigwa sana kwani gharama zinakuwa juu mno kuliko inavyotakiwa. Mfano 14 plain kwenda 15 plain ni tzs 1m hii ni bei ya simu mpya kabisa dukani. Huu ni utapeli wa kiwango cha juu mno.

Check value ya simu yako + pesa unayoongezea. 14 plain umeitumia muda gani, price yake ikoje in relation to 15 plain?
 
Back
Top Bottom