Safari hii naona Lavalava (lovebite) kazingua

brownboy

Member
Jun 10, 2023
98
265
Kwa speed aliyokuja nayo mwaka uliopita basi nilitegemea atoe hit song nyingine kali kuizid beer nyama lakini wapi! Hizi nyimbo zake mbili ni mbovu na hata mixing haikufanyika kwa usahihi.

Arudi Tena studio.
 
dah tutake radhi ndugu, hebu kasikikize ngoma yake mpya ya pambe tu, alichokiongea mule umekisikia?

bonge moja la ngoma. naiskiza muda wote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom