Nchini India kuna mwanamama anaitwa Sonia Gandhi,ni President wa Indian National Congress,huyu ni mzaliwa wa Italy.
Kama mtu anafanya kazi vizuri na anajali maslahi ya wazawa,hakuna haja ya kumbagua wala kumtenga,ubaguzi usiokuwa na maana hautakiwi,unasababisha ukiritimba kwenye vichwa vya...