Recent content by britneyley

  1. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mwenye maswali ya written TRA mwaka jana tunaomba atume wakuuu
  2. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Gross au take home?
  3. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Vipi kwa Assistant wa TRA
  4. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hongera Sana na asante kwa kuanzisha uzi huu hakika umeleta impact kubwa sana vijana wenzako Mungu akubariki
  5. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Placement ya NIT ARU OUT
  6. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kama wanajimwambafai apa unahisi kwenye panel watafanya nini zaidi ya kujimwambafai 😂😂😂
  7. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mnabishana lakn tunakuja kulamba asali na wanasheria 😂😂😂
  8. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Link boss
  9. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Inshallah your time is coming
  10. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Ndio nashukuru Mungu niliitwa feb mkeka wa TRA
  11. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Mungu ajaalie na wewe uitwee ila usije kutukimbia ukishapata placement
  12. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Itoshe kusema February umekuwa mwezi wa Neema na matumaini kwa vijana wengi Mungu ajaalie na wengine wanao subiri placement waitwe
  13. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    😂😂😂😂 Sawa umekuwa addicted sana na huu uzi
  14. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Hahaha umefuta app umeamia kwenye ushuhuda
  15. B

    JamiiForums Tanzania HOJA Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita Watu kazini?

    Kuna vitu vingi sana vya kujifunza kwenye huu uzi sio mwenyeji sana ila kuna hawa watu Mwifwa na @yunklee jinsi wanavyokuwa na furaha wengine wakipata asali hakika tujifunze kufurahi wenzetu wakipata ata km wewe bado ujiongezea baraka kwa Mungu
Back
Top Bottom