[emoji1787][emoji119]Jobless lzm uchelewe kuamkaa unawai nini kwenda kuteseka
OoohhMalipo ya Serikalin ni Ngumu kufanyika Weekend lkn mara nyingi trh 23+ ikiwa ndani ya Siku za Kazi wapo wanaoanza Kuenjoy Asali zao
Sio poa aisee wengine kada zetu utumishi kwa mwaka Mara moja alafu unakuta nafasi moja nilipiga nikafika mpaka oral nikakosa nafasi unaona watu 100+ wamepata kazi sio poa mkuuPoleni sana mliokosa, siyo rahisi kabisa majina 100+ kutoona jina lako....poleni sana
Hizo za post moja moja ukifika oral database itakubeba sana, niamini nina uzoefu na hiliSio poa aisee wengine kada zetu utumishi kwa mwaka Mara moja alafu unakuta nafasi moja nilipiga nikafika mpaka oral nikakosa nafasi unaona watu 100+ wamepata kazi sio poa mkuu
Maofisini kuna mambo mengi unaweza kuta walio makao makuu wanajilipa posho nyinyi wa zone hakuna kitu. Au kila safari ikija wanapewa watu walewale wengine mnasugua viti tu ofisini na kuchakaza suruali. Ofisi zina mengi jishushe soma mchezo fanya mambo yakoMzee hata kama una mwezi mmoja obvious utajua hizo ishu, af nimeuliza kama kuna posho sijauliza exact figure sasa hapo kuna upersonal gani? Af kingine mimi sipo miongoni wanaotafuta kazi kama unavyofikiri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Link bossGood morning guys. Wale wa Takukuru mzigo umeachiwa hukoo. Kaangalieni majina yaani mwaka huu ni bandika banduaaa
Shida ni za tutorial assistant mkuuHizo za post moja moja ukifika oral database itakubeba sana, niamini nina uzoefu na hili
Npe linkGood morning guys. Wale wa Takukuru mzigo umeachiwa hukoo. Kaangalieni majina yaani mwaka huu ni bandika banduaaa
Ukiangalia kazi nyingi zinazotoka ni tutorial assistant/lecturers hii inamaanisha database yake iko tupuShida ni za tutorial assistant mkuu
Sema hawa nao walivyoiweka yaaan kama kimachale chale...hamna information nyingi nying na wala sjabahatika ona ni tarehe ngap wanapaswa kufanya huo usaili wa maandishiView attachment 2529239View attachment 2529240View attachment 2529241
Sema hawa nao walivyoiweka yaaan kama kimachale chale...hamna information nyingi nying na wala sjabahatika ona ni tarehe ngap wanapaswa kufanya huo usaili wa maandishiView attachment 2529239View attachment 2529240View attachment 2529241
Sijajua, ID aliyofungulia uzi alisema imepigwa ban ya muda mrefu.Hv mwanzilishi wa huu uzi aliishia wapi yeye[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Mrija wa asali ulifunguka??
Tafuta Ajira portalmbona app la utumishi wameremove playstore
Hapa ni kuwait tu baada ya kipigo cha Yanga J.2 kuamkia J.3 basi[emoji38][emoji38][emoji38]Wazee wa kunusa PDF Leo mnusowenu wasemaje
Mambo wazi hamna kuficha, namba na majina hapo hapoSema hawa nao walivyoiweka yaaan kama kimachale chale...hamna information nyingi nying na wala sjabahatika ona ni tarehe ngap wanapaswa kufanya huo usaili wa maandishiView attachment 2529239View attachment 2529240View attachment 2529241