Recent content by brighton christopher

  1. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuwapata watoto baada ya kuhitilafiana na baba yao

    Habari pole kwa changamoto hayo ni mapito tu dada yataisha 0765345777 hii ni namba ya Dr Doroth Gwajima kuna dada alikua na case kama yako alimsaidia mtumie sms ya kawaida au watsap then utajitamburisha na kueleza shida yako pamoja na kumuomba kipi cha kufanya ili uweze kupata hitaji la moyo...
  2. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Natarajia kuvuna samaki sato natafuta mteja/wateja Mwanza

    Naomba kupata elimu namna ya ufugaji wa samaki usio na gharama ahsante
  3. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania KWELI Kushiba sana usiku na kulala Chali huongeza nafasi ya kukabwa na Majinamizi

    Duh ni juzi tu hali hii ilinitokea nilipiga kelele sana lakini wapi nikanyanyua mkono lakini wapi nikabaki kusema kimoyo moyo kwa jina la yesu....kwa jina la yesu hali hii ikitokea unapaswa ufanye nini ilikuiondoa na je inaweza kuduma takribani kwa dakika ngapi au masaa mapangi.Ahsnte
  4. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    Huo utaperi umeonyeshwa wapi tusaidie kutufungua macho
  5. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    Hakuna mkamilifu kila binadamu namapungufu yake sijaona kosa la mleta taarifa za taasisi
  6. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Ifahamu taasisi ya ‘Jicho la Tanzania’

    Maelezo mjarabu kabisa Hongera
  7. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Ni hatari sana kwa Mwanaume kushinda nyumbani

    Iko vzr ukiyazingatia haya hutagombana na mwenzako.ujumbe mjarabu kabisa
  8. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Heslb, loan refund siku ya 110 hakuna refund

    Nimeongea nao leo kwa njia ya simu majibu yao wanasema kila kitu kipo kwenye system siku 90 zinaweza hata kupita kwamba wapo watu walioomba tangu July hajalipwa hivyo niwe mvumilivu. Naomba kuuliza hivi system inasetiwa automatically zikifika siku hiyo ili itoe pesa Kwa alijaza fomu online au...
  9. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Heslb, loan refund siku ya 110 hakuna refund

    Kiongozi hata mimi niliomba refund fund yangu mpaka leo sijalipwa kwenye ahadi wako vzr ila kwenye utekelezaji changamoto nafikilia kwenda ofsn kwao nikaulize tatizo nini wakati nadai haki yangu.
  10. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya mapenzi ya wadada wasaidizi wa mama ntilie siyo salama kwa afya yako

    Ukweli unaponya japo wengi hawapendi kuusikia.
  11. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Tutajie orodha ya kozi ambazo hazitoi ajira ili tupate kuzifahamu

    Naongezea kozi kwa level zote, certificate, bachelor, na masters ili watu wasipoteze mda kusoma kitu ambacho hakima msaada kwao. Ahsante.
  12. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Kondomu zimeadimika, nini tatizo?

    Wateja wamekua wengi [emoji23][emoji23][emoji23]
  13. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa baa wana maisha mazuri kuliko waajiriwa wengi

    Mkuu mbona kawaida kichwa Cha chini Cha mwanaume Kuna wakati kinakua na nguvu kuliko kichwa Cha juu ambacho kilimeza 4figure yote cos&sin[emoji23][emoji23]
  14. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Nimepata matatizo lakini hakuna Ndugu yangu aliyekuja wala kupiga Simu ya pole

    Usilipe ubaya kwa ubaya wewe tenda wema kaka mwisho wa ubaya no aibu.
  15. brighton christopher

    JamiiForums Tanzania Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Inawezekana hata sheria ya bodi ya mikopo makato kua aslimia 15% ilipitishwa akiwa hajui Sasa kwa kua amejua Rai yetu Sasa ibadilishwe irudi ile ya zamani ya asilimia 8%
Back
Top Bottom