Heslb, loan refund siku ya 110 hakuna refund

Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,546
6,239
Nasikitika leo ni siku ya 110 tangu nifanye application online loan REFUND,
Nikaahidiwa ndani ya siku 90 napata hela yangu,
Sasa shida ni nini hadi sasa kimya tu.

Wakubw mnaohusika kweli siku 90 zote hamjaweza fanyia kazi, au kuna shida gani?

Wadau naombeni ushauri nini cha kufanya niweze kufanikisha maana naona kama taarifa zangu hazijafika labda.
 
Nov 22, 2014
68
25
Kiongozi hata mimi niliomba refund fund yangu mpaka leo sijalipwa kwenye ahadi wako vzr ila kwenye utekelezaji changamoto nafikilia kwenda ofsn kwao nikaulize tatizo nini wakati nadai haki yangu.
 
Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
19,418
29,413
Nasikitika leo ni siku ya 110 tangu nifanye application online loan REFUND,
Nikaahidiwa ndani ya siku 90 napata hela yangu,
Sasa shida ni nini hadi sasa kimya tu.

Wakubw mnaohusika kweli siku 90 zote hamjaweza fanyia kazi, au kuna shida gani?

Wadau naombeni ushauri nini cha kufanya niweze kufanikisha maana naona kama taarifa zangu hazijafika labda.
Unaishi bongo kweli? Au ndio umekuja kutoka ulaya?
 
Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,546
6,239
Unaishi bongo kweli? Au ndio umekuja kutoka ulaya?
Walisema unaosghulikia ni mfumo,
Na umesetiwa kutoa majibu ndani ya siku 90.

Huu ukimya hadi Leo inamaanisha huo mfumo wana udisable makusudi au nao ni wa kiswahili swahili tu!!
 
Murtapha68

Member
Feb 20, 2022
27
15
Nasikitika leo ni siku ya 110 tangu nifanye application online loan REFUND,
Nikaahidiwa ndani ya siku 90 napata hela yangu,
Sasa shida ni nini hadi sasa kimya tu.

Wakubw mnaohusika kweli siku 90 zote hamjaweza fanyia kazi, au kuna shida gani?

Wadau naombeni ushauri nini cha kufanya niweze kufanikisha maana naona kama taarifa zangu hazijafika labda.
Refund ni nin na inakuje
 
Mwifwa

JF-Expert Member
Apr 3, 2017
44,095
113,469
Walisema unaosghulikia ni mfumo,
Na umesetiwa kutoa majibu ndani ya siku 90.

Huu ukimya hadi Leo inamaanisha huo mfumo wana udisable makusudi au nao ni wa kiswahili swahili tu!!
Na wewe uliamini kuwa kuna mfumo ?
 
Nov 22, 2014
68
25
Ndio, kawacheki
Nimeongea nao leo kwa njia ya simu majibu yao wanasema kila kitu kipo kwenye system siku 90 zinaweza hata kupita kwamba wapo watu walioomba tangu July hajalipwa hivyo niwe mvumilivu.

Naomba kuuliza hivi system inasetiwa automatically zikifika siku hiyo ili itoe pesa Kwa alijaza fomu online au system ipo under control ya mtu?
 
Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,546
6,239
Nimeongea nao leo kwa njia ya simu majibu yao wanasema kila kitu kipo kwenye system siku 90 zinaweza hata kupita kwamba wapo watu walioomba tangu July hajalipwa hivyo niwe mvumilivu.

Naomba kuuliza hivi system inasetiwa automatically zikifika siku hiyo ili itoe pesa Kwa alijaza fomu online au system ipo under control ya mtu?
NIMEFATILIA sana, nimeenda Mwanza pale wapo mabwanyeye tu ni kukwambia tu, SUBIRI huku hamna lolote linalofanyika, nimeenda dar , wao wanajua kusikiliza vzr lkn ukishatoka, imetoka.
Kwa sasa system ipo bortion tu, maswala ya Refund ni changamoto kubwa sana.
Watendaji wapo wanapack magari na kula kiyoyozi tu.
Ni Mungu saidia kwa kweli.
 
samsolo the great

Senior Member
Jul 9, 2021
172
229
Inasikitisha sana sijui nani atusaidie mtu unakatwa pesa zako wakati si mnufaika wa hiyo board unafanya process zote ila kunakuwa na miungu watu ambao wala hawawezi kusikia wala kuona kama kuna haja ya kukurudishia hela yako wakisingizia mfumo.Mpaka nimekumbuka na mh Magu alikuwa anadeal sana wazembe hawa
 
Ziltan

JF-Expert Member
Aug 20, 2011
2,546
6,239
Sasa hivi Naambiwa watu wa IT hawapo ofisini bado wanakula sikukuu, na ndio wanakwamisha pia hicho kinaitwa mfumo ili taratibu ziendelee.

Nilianza kuomba loan balance mwezi Mei mwaka jana, nikaambiwa tatizo mfumo hadi sasa, sikupewa.

Leo hii ni miezi 6 nadai loan REFUND naambiwa tatizo ni mfumo na ma IT hawapo ofisini.

Serikali imewatengenezea HESLB mazingira mazuri ya kazi, lakini ndio hivyo bussness as usual.
Mama Samia, na watu wako naomba msaada.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom