Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,076
- 4,654
Silipwi kwa kuandika ninanachokiandika huyo ana ruin reputation ya taasisi husika.Mbona wewe umeandika 'usajiri' badala ya "usajili"?
😬😬😬😬
Wala mimi kukosea hai-justify makosa yake.
Silipwi kwa kuandika ninanachokiandika huyo ana ruin reputation ya taasisi husika.Mbona wewe umeandika 'usajiri' badala ya "usajili"?
😬😬😬😬
Atakuw ameteleza tu. Hat mda pia huwa nateleza kidog😊Silipwi kwa kuandika ninanachokiandika huyo ana ruin reputation ya taasisi husika.
Wala mimi kukosea hai-justify makosa yake.
Mbona wewe umeandika 'usajiri' badala ya "usajili"?
😬😬😬😬
😬😬🤣🤣🤣🤣
Dada😅😅 unawwza nini?Kwa nini mtumie neno Jicho?
Isiwe sikio la Tanzania?
Jicho lina maana tata
Hujui jicho lina maana tata🤣🤣🤣Dada😅😅 unawwza nini?
Maelezo mjarabu kabisa HongeraSEHEMU YA II: DIRA, DHAMIRA NA MADHUMUNI.
IBARA 7: Kauli Dira
Kuwaunganisha vijana, wanawake, wanaume na makundi yote ya kijamiiili kuunga mkono juhudi za serikali katika kuwaletea maendeleo wananchi wake, kwa kushiriki moja kwa moja katika miradi mbalimbali inayotekelezwa ndani ya Jamhuri ya Muungano waTanzania.
IBARA 8: Kauli ya Dhamira
Kutoa elimu kwa jamii kwa ujumla ili itambue wajibu wa kushiriki moja kwa moja katika shughuli za kizalendo ili kujiletea maendeleo ya taifa kwa ujumla.
IBARA 9: Madhumuni
Kuhamasisha wanawake,vijana na makundi yote ya kijamii kuunga mkono kampeni ya utunzaji wa mazingira kama kichocheo cha ujasiriamali.
Kuwaunganisha vijana kote nchini, kuunga mkono juhudi za serikali kupinga ukatili, unyanyasaji, ubaguzi, mila na dini potofu, ubadhilifuwa wa mali za umma, uhujumu uchumi na matumizi ya dawa za kulevya.
Kuwafikia jamii zilizoachwa nyuma kimaendeleo ikiwa ni pamoja na jamii zinazo hamahama za wafugaji,waokota matunda pori wala mizizi na wavuvi kuwapatia elimu ili kuleta maendeleo endelevu.
kuchochea uwajibikaji na roho ya kizalendo kwa jamii.
Kuuelimisha umma wa watanzania juu ya umuhimu wa kushiriki katika miradi inayo tekelezwa ndani ya taifa letu na namna ya kutunza miundo mbinu hiyo kwa manufaa ya kizazi kijacho.
Kutoa elimu ya Uraia,Utawala bora, maadili na uzalendo kwa jamii na kuenzi nafasi na mchango wa kila mmoja katika kujiletea maendeleo.
Kukuza uelewa juu ya namna ya kutumia fursa za kimazingira kujiletea kipato kwa kutumia fursa zinazopatikana ndani ya maeneo yao, kuanzia Mtaa hadi taifa.
Kuwawezesha watoto wanaoishi katika mazingira magumu hasa yatima, wajane, wazee na waathirika wa madawa ya kulevya katika upatikanaji wa huduma muhimu za kibinadamu kama elimu, afya na malazi.
Kutoa elimu ya matumizi sahihi ya Tehama na kutumia Tehama kujiingizia kipato kwani hii ni njia inayo weza kuwasaidia watanzania wengi kujiajiri.
Hakuna mkamilifu kila binadamu namapungufu yake sijaona kosa la mleta taarifa za taasisiSilipwi kwa kuandika ninanachokiandika huyo ana ruin reputation ya taasisi husika.
Wala mimi kukosea hai-justify makosa yake.
Huo utaperi umeonyeshwa wapi tusaidie kutufungua machoHii ngoma imekaa kitapeli haswa
Hata mimi sijaoka kosa lake ila kosa la taasisi kumuajiri mtu incompetent kwenye taasisi yakeHakuna mkamilifu kila binadamu namapungufu yake sijaona kosa la mleta taarifa za taasisi