kama kanebwa kaula wa chuya na zile tofali za american village na maji ya chanyege na mto amazon raha sana af nasikia kuni za kuokota nmeisha sa iv ni mwendo wa shoka.
kampe hay mchanyambi na afande kifutu mwambie aapunguze kula
waambie ntarud ngoja nmalize kusoma coz 824KJ Ni chama la wana...
miaka yote ipo. "kama utanipenda(JKT) sitojali shida ulizobeba na kama wataka kucheza katafute refa wa kukubeba" kama hukuelewa iyo mistar ya Darassa hapo utasubir sana.
kua makini wanajeshi hawapendi kulingishiwa elimu kwanza ukifika kule elimu unaiacha getini afu mafunzo unapewa na wajeda wny elimu ya darasa la saba ko jeshini elimu yako password yako i thnk u hv got idea from the meaning.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.