Ing'ang'a
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,866
- 1,284
Amina.Thankx mkuu nawe pia akubaliki tukutane kwenye kujenga taifa
Amina.Thankx mkuu nawe pia akubaliki tukutane kwenye kujenga taifa
Kumaliza,Cheti cha Degree au? Je Vipi Katika 5KM race wanaangalia nini hasa? Kumaliza Mbio au Kuongoza Mbio?
Kumaliza nini mkuu?Kumaliza,
asa ajira znapotoka uraiani kwa mfano mwny degree ya ualimu yule aliepo jkt anakua ni service man na mawasiliano unakua nayo.Ajira gani ya mtaani?Kwani ukipata ajira ndio umepata mshahara tayari?
Skia,ukienda JKT maana yake umeignore maisha yote ya uraiani
Na hautaruhusiwa kutumia simu kipindi chote cha kozi
Na watachukua cheti chako wakae nacho ili usitoroke depo[emoji1] [emoji1] [emoji1] maana kazi zetu zikianza wengine huwa wataanza kujuta kwanini walijileta
Kila ka heri mkuu mzalendo
So hata kama umechelewa wao hawajali ilimradi umemaliza hizo 5km?Kumaliza,
Morogoro vilaya ipi mkuu?Morogoro Wamekimbizwa kabla ya Kukaguliwa Vyeti ah! ha!
asa ajira znapotoka uraiani kwa mfano mwny degree ya ualimu yule aliepo jkt anakua ni service man na mawasiliano unakua nayo.
asa loan board hela yao ndo inakua ishapotea ivoUkienda JKT utakua service man at least kuanzia mwezi wa kumi,hata hivyo hautaweza kuondoka maana vyeti vyako wanakua navyo
Lakini hata hizo ajira mpya si hadi uripoti kazini ndio mchakato wa kuingia kwenye payroll
Kimsingi mkuu ukienda kule uraiani pasahau tu hadi mkataba wako uishe au mkubwa akusaidie kukutorosha,ufukuzwe au uwe unfit
Hivi unazani kuwa wakili ni mchezo? CPA holders WANAFIKa zaidi ya 5000 Na wameanza kuhesabiwa 1975,! mawakili wameanza kuhesabiwa 1940s Na hawazidi 7000! Yani CPA holders wangeanza kuhesabiwa miaka ya 1940s sasa hivi wangekuwa 20,000Acheni Kudanganywa na Vi Law School Vyenu hivyo Watu Certified Public Accountant CPA (T) na Wameomba JKT huo Uwakili wako nani atakutambua wewe eti utakulipa Unapambana na watu wenye majina kama Tundulisu, Mkono, Marando Kama kwenu mna Firm ya Advocates ambayo ni Maarufu sawa Tanzania Siku hizi kila kitu kimetapakaa Siyo mambo ya zamani kuna Accountants, Lawyers, Engineers wanasota Kitaa Nenda JW na School Of lawa yako Uone utakavofaidika kwanza utakua mtu wa kwenda Course tuu siyo kukaa Makambini ndani ya Miaka 4 Utakua umeshakua Major Chamber za Advocates ziko nyingi sana sikuhizi.
ko ushachaguliwa au vpWameshangaa sana nkivyowaambia ni Masters wameniambia Jkt unafuata nini Na Masters nikawaambia nafuata uzalendo Na kazi
Haaa Haaa Masters j.k.t duuu Noma Sana hyo mbona hata kama mi nachomoaWameshangaa sana nkivyowaambia ni Masters wameniambia Jkt unafuata nini Na Masters nikawaambia nafuata uzalendo Na kazi