Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Nafikiria kitengo utakachopewa ukiwa kama mhandisi wa migodi doh
Jeshi kama Jeshi lina miradi ambayo hawa inaendesha rejea mgodi wa meremeta pia katika field ambayo inaendana na mazingira ya kijeshi basi mining ni moja wapo Kama utakua umepitia migodini utaelewa mana Kuna vyeo ambavyo mara nying vinaendana na kijeshi mfano captain, superintendent etc Bila kusahau mambo ya milipuko ambayo mgodini hufanyika ndo kabsaa acha hapo vip kuhusu kudesign underground military tunels? Nadhan umepata mwanga
 
Nimekupata mkuu
 
Sababu no 1

Mfumo wa utawala na madaraka wa jeshi
Mfumo wa jeshi upo kama wa vile ulivyokua mfumo wa elimu wa kikoloni, yaani una shepu ya piramidi ( pyramid ). Yaani jeshi linakua na maofisa wa ngazi za juu wachache, wa ngazi za kati wengi kidogo na maaskari ambao ndo wapiganaji wengi. Kama ilivyo piramidi, inakitako kikubwa / kipana, na kadri linavyozidi kwenda juu ndo linazidi kupungua kwa kua jembamba. Kwaiy jeshi lazima lichukue wasomi kwa kuzingatia huo mfumo, maana wasomi ni viongozi / maafisa wa ngazi mbali mbali katika mfumo. Kwaiy hawawezi chukua watu alfu wakakosa majukumu ya kuwapa kutokana na kua wengi au wakakosa kupata nafasi za madaraka wanazostaili kutokana na elimu zao, ikitokea ivyo kutakua na manung'uniko maengi katika jeshi, na kukishakua na manung,uniko ya kukosa stahiki basi ata ufanisi katika utendaji wa kazi utapungua.

Sababu no 2
Logistics. Maafisa wa jeshi, kama nilivyoeleza hapo juu, wapo katika makundi mengi, na hawa watu wana stahiki nyingi mno, hasa kuanzia ngazi ya majenerali, kuna mafao, mishahara, marupurupu na mambo mengi wanayostahili kupata pindi wakiwa kazini / ofisini na pindi wakistaafu. Kutokana na wingi wa stahiki izo, lazima hawa watu wawe wachache ili kuipunguzia serikali mzigo mkubwa wa malipo ya stahiki zao.

Nadhani nimeeleweka. Namalizia yai langu
Exactly..nimekuelewa
 
Back
Top Bottom