nkanga chief
JF-Expert Member
- May 31, 2016
- 2,084
- 1,623
[emoji23] [emoji23] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Oukey, so basically nikazie tu waangalie sana Status za damu zao zisije pata kile kirusi hatari nadhani unamaanisha hivyo......... waaziii
Mungu baba nipiganie kesho na swaum yangu..
Watakuuliza ulipataje academic bila living,kama unalo jibu nenda ila usikose birth certificate.okay gud.. barua yake inandikwaje vile? na m cna leaving cirtificate lkn nina academic certificte kuna shida apo?
okay gud.. barua yake inandikwaje vile? na m cna leaving cirtificate lkn nina academic certificte kuna shida apo?
Birth ,leaving&academi weee hawakuelewi...okay gud.. barua yake inandikwaje vile? na m cna leaving cirtificate lkn nina academic certificte kuna shida apo?
Watakuuliza ulipataje academic bila living,kama unalo jibu nenda ila usikose birth certificate.okay gud.. barua yake inandikwaje vile? na m cna leaving cirtificate lkn nina academic certificte kuna shida apo?
pole sana mzalendo kanembwa nomaaaaah sana bhabha utaoga maji ya mto amazon kule kazi ipowakubwwa namshukuru Mungu nimepangiwa Kg kanembwa 824
Tupe kidogo story za Kanembwa mkuu, Nasikia Kambi za Kigoma Majeshi kweli kwelipole sana mzalendo kanembwa nomaaaaah sana bhabha utaoga maji ya mto amazon kule kazi ipo
Hapo Burombora ndo aibu kuna Staff sergeant wakuitwa Ngutanyi, hahaaa huyu mtamkuta kwenye shughuli za shamba....... Afande wezele ndani pia.... Ila JAKATA safi sana wakuu point ya Msingi ni kufungua Moyo kwenye suala zima la Mafunzo la sivyo utaona Maisha magumu sanakigoma noma sana kambi zote za jakata kigoma dah first ikiongozwa na bulombola jkt ,kanembwa jkt hizi kama nomaah sana mtakula kazi ya kufa raia kwanza kanembwa kuna shamba linaitwa dunia mzee huoni mwisho wake
Umesahau Mtabila Jktkigoma noma sana kambi zote za jakata kigoma dah first ikiongozwa na bulombola jkt ,kanembwa jkt hizi kama nomaah sana mtakula kazi ya kufa raia kwanza kanembwa kuna shamba linaitwa dunia mzee huoni mwisho wake
wakubwwa namshukuru Mungu nimepangiwa Kg kanembwa 824
pole sana mzalendo kanembwa nomaaaaah sana bhabha utaoga maji ya mto amazon kule kazi ipo
kama kanebwa kaula wa chuya na zile tofali za american village na maji ya chanyege na mto amazon raha sana af nasikia kuni za kuokota nmeisha sa iv ni mwendo wa shoka.pole sana mzalendo kanembwa nomaaaaah sana bhabha utaoga maji ya mto amazon kule kazi ipo
akuna mbioKwa mlofanya usail wa makao makuu naomba ulza mlikimbia????
Pouwam
akuna mbio
m
akuna mbio