Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Ahahahahahah, hii n ndoto zangu za usoni. Maada ya miaka michache nahitaji masters
Duuu Masters ntasoma when I'm at 28+ Nshaoa na everything is Okay siwezi kupoteza 6Ml - 10Ml Kwenye Ujinga WA masters mi Ni Business Minder Hzo pesa Nikichukua Mzigo Wangu wa Dagaa au nkachonga Boat nkatia na Mashine nkavua after hzo Two years za kutafta Mbwembwe za kusaka masters ya kuwatishia Masela kijiweni ntakua mbali Sana kiheshima na kifedha ,So usome afu ukose hela huo Ni ujinga PIA Just Imagine kaka Una Elimu yote ile but you don't have money kama sio ujinga Ni nini ? , Samahani Sana Guys Kwan ntakua mpaka hapa nshabaka Uzi.
 
Mkuu Mimi Nilimaliza Bachelor degree Na miaka 22, Masters 18 month,
Hata mi Nina Miaka hyo hyo na Miezi mitatu kwa Sasa lakini siwezi kwenda kuchukua Masters first time nilitaka kwenda but baadae nkaona Ni Mbwembwe Tu hzo ngoja kwanza nifanye hv na vile later, after I've made sure that everything is on the right track ( permanet job = Money, wife,kids ,car ,house, estates n.k) I'll go back and study cha msingi Uzima na Baraka From God the Almighty.
 
Mipango tu Mkuu!, hata ukibahatika kuingia jeshini utajiendeleza tu
 
Dogmatic[emoji20] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
yeah I question anything siyo kukubali Kitanzania kumaliza Degree una Miaka 22 siyo rahisi mkuu mimi binafsi nimemaliza nina miaka 24 and Youngest alikua na miaka 23 na siku kadhaa naona umefurahi au hujui maana ya hilo neno. Labda kama alirushwa madarasa hapo nakubali lakini kama kweli ameingia shule akiwa na miaka 7 hawezi kumaliza akiwa na miaka 22 kwa sababu Distance ya Darasa la kwanza hadi chuo kikuu kwa mtu alienda bila kurudia ni miaka 17 yes I am Dogmatic.
 
Ni Kweli nimeliandika andika Tu kijinga sijui maana yake . Hesabu hyo afu nenda.
 
Hata mi Nina Miaka hyo hyo na Miezi mitatu kwa Sasa lakini siwezi kwenda kuchukua Masters first time nilitaka kwenda but baadae nkaona Ni Mbwembwe Tu hzo ngoja kwanza nifanye hv na vile later, after I've made sure that everything is on the right track ( permanet job = Money, wife,kids ,car ,house, estates n.k) I'll go back and study cha msingi Uzima na Baraka From God the Almighty.
Hapo umenena

Siongezi neno.
 
Wasomi tunakimbilia chomboni

He ni uzalendo wa kweli au mtaani hapaeleweki
Hapana Ndugu yangu Ni Ndoto watu tunafukuzia , kwa Mimi Ni Mwalimu Wa Falsafa, Mantiku, Saikolojia na Historia ntakiwa nifundishe watoto wa Kidato cha Sita Cheti na Diploma lakini Napenda Tu kwenda kukomaa Chomboni au nakosea Mkuu nikawapigie watoto Chaki Nini ?.
 
Back
Top Bottom