Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Mafunzo ya JKT kwa kujitolea kwa mwaka 2016

Katika sehemu niliyodhani waki fair ni huku lkn naweza sema nchi yote imejaa rushwa. Yaani vijana wanasota na mbio interview zote unashinda. Siku ya mwisho wanakuja vijana ambao wametokea mikoa mingine unaambiwa wameshinda. Wewe ulikuwa unakuwa wa1 au 2 jina lako linajakatwa ili awekwe aliyekuwa wa 7 huko morogoro. I am very dissapointed.
Wamekukata kwenye usaili upi mkuu? Wa mkoa au? Kama nakukumbuka vile.
 
Sikutishi ndugu yangu, jiandae kisaikolojia kua unachoenda kukutana nacho ni mafunzo ya kijeshi na utaishi kwa utaratibu wa kijeshi, utakua na nidhamu ya kijeshi.
Hayo maneno magumu sana kutekeleza kwa mtu anayetoka mtaani na hasa anayekua amesoma elimu ya juu ataona ugumu zaidi, yaani mwenye degree anaweza kuona jeshi ni gumu sana kuliko mtu aliyemaliza form four au std seven.
Hiyo hutokana na katabia ka kupenda reasoning kwenye kila jambo analopewa amri ya kijeshi.
sawa bro ngoja tukajionee wenyewe naimani tutapambana namazingira ya aina yoyote chamsingi ngoja tupiganie nafasi zakwenda uko
 
Mshakjai Wangu ameingia na Cheti Cha degree Mkoani .....majina ya waliopita mkoani nae akaitwa Ila ni kwa form six.... Age 24......wakisubiri usaili wizara jee Hakuna shida yyte hapo
 
Mshakjai Wangu ameingia na Cheti Cha degree Mkoani .....majina ya waliopita mkoani nae akaitwa Ila ni kwa form six.... Age 24......wakisubiri usaili wizara jee Hakuna shida yyte hapo
Sijui mi ndo sijakuelewa Ama vipi?
Usaili wa Wizara Kuna usaili wa wizara kwenye haya mambo ya J.K.T?
 
Mshakjai Wangu ameingia na Cheti Cha degree Mkoani .....majina ya waliopita mkoani nae akaitwa Ila ni kwa form six.... Age 24......wakisubiri usaili wizara jee Hakuna shida yyte hapo
Unaaminisha kaitwa mara mbili katika usaili mkoanina wizarani???

Huko wizarani ni wizara gani??
 
kwani siku iz zile fomu za mtaani azipatikan ,, zile unatoa hela unagewa fomu huapitii ngaz za mkoa maana kuna jamaa zangu weng waliingia kwa dizain hyo mwaka jana
 
kwani siku iz zile fomu za mtaani azipatikan ,, zile unatoa hela unagewa fomu huapitii ngaz za mkoa maana kuna jamaa zangu weng waliingia kwa dizain hyo mwaka jana
Magufuli kiboko yao , Mkuu hakuna cha Baba Kantuma This time.
 
Nilipataga hizo form free mwaka jana usaili wangu umefanywa siku moja tuuu ila sikwenda
 
Magufuli kiboko yao , Mkuu hakuna cha Baba Kantuma This time.
mkuu una source ya kuaminika ya hii taarifa?maana hata mimi nilisikiaga juu juu tu hii kitu kwamba mwaka huu BABA KANTUMA hazitotolewa,but kuna wanaosema haiwezekani fomu za wakubwa zicwepo.
 
mkuu una source ya kuaminika ya hii taarifa?maana hata mimi nilisikiaga juu juu tu hii kitu kwamba mwaka huu BABA KANTUMA hazitotolewa,but kuna wanaosema haiwezekani fomu za wakubwa zicwepo.
Mkuu mpk source Kwan hapa Tuko kwa Court au Tuko Kwenye kudefend Research mpaka nichomoe source ndo ukubali , wee jua Baba, Mama Nkatuma This time no.
Kama zingekuepo basi mpaka sasa hv ninavozungumza Form zingekuepo zinazagaa Zile Fake na Original lakini upepo wa Regime hii Ni Mwingine watu wanasanda kinyama japo wenye Roho Ngumu hawakosi .
 
Back
Top Bottom