uzaramoni king
Member
- May 25, 2014
- 35
- 9
Baba kanituma twaja nyie tangulieni[/quoted
Doh
kumbe bado hzo mambo zipo na mwaka huu
Baba kanituma twaja nyie tangulieni[/quoted
Doh
kumbe bado hzo mambo zipo na mwaka huu
Form 6 tuu.Naomba kuuliza hawa ambao wanao ondoka kati ya tare7 mpk 10 ni hawa waliomaliza frm 6 hv punde au wa kujitolea au wote kwa pamoja?
Wanadanganyana eti wa kujitolea wiki ijayo. Kwenda ni lazima ila kwa wakati utakaopangwa.Ni form 6 tu kwa mujibu wa Sheria.... hizi habari nyingine bro Aleyn waambie vijana wawe wanapitia kwenye website ya huko wanakotaka kwenda
Sipendi kutumia neno mchecheto ila niseme tu Vijana wenzangu tuna Mchecheto, naamini muda muafaka ukifika Jkt kupitia Kurugenzi yao ya Habari Watatangaza ni lini ma Wapi Vijana wa Kujitolea wanatakiwa kuripoti kwa ajili ya Mafunzo.... Subira ni kitu muhimu sana, tofauti na hapo watu wataishia kupanikishana na kutoa lawama zisizostahimili... Tuache Muda utasema.Wanadanganyana eti wa kujitolea wiki ijayo. Kwenda ni lazima ila kwa wakati utakaopangwa.
Asante saaaaaaaana!!!Sipendi kutumia neno mchecheto ila niseme tu Vijana wenzangu tuna Mchecheto, naamini muda muafaka ukifika Jkt kupitia Kurugenzi yao ya Habari Watatangaza ni lini ma Wapi Vijana wa Kujitolea wanatakiwa kuripoti kwa ajili ya Mafunzo.... Subira ni kitu muhimu sana, tofauti na hapo watu wataishia kupanikishana na kutoa lawama zisizostahimili... Tuache Muda utasema.
Kila lá kheri kaka mtatujuza kilichojir hukoMkoa wa mara leo ndo fainali .kila la heri wote mliofanikisha kufikia hatua ya juu katika usaili huu unaopendww na wengi maana walikuanwengi ila wamebaki wachache
Vp mkuu mchakato umeendaje huko mara?Mkoa wa mara leo ndo fainali .kila la heri wote mliofanikisha kufikia hatua ya juu katika usaili huu unaopendww na wengi maana walikuanwengi ila wamebaki wachache
Updates jaman mliofanya usaili wa vipimo nn kinaendeleaVp mkuu mchakato umeendaje huko mara?
Mkuu mm cjafanya mara Kuna mdau hapo juu ndo wamefanya leo au wamemla kichwaUpdates jaman mliofanya usaili wa vipimo nn kinaendelea
Mkuu process zake zikoje wanakagua vyeti kwenye system au by visual examinationMkoa wa mara vipimo tayare .kesho 5/6/2016 majibu ya jumla na kusain mikataba na mengineyo ,
Intesive visual xmination, necta na vyeti vingine,majina yakipishana hata herufi moja ni msala,mahojiano ya kina ukifaulu iyo hatua unapewa fom maalumu kwenda hatua inayofuata ambayo ni vipimoMkuu process zake zikoje wanakagua vyeti kwenye system au by visual examination