Lj Mwambar
JF-Expert Member
- Apr 23, 2013
- 605
- 363
Shukran mkuuHongera sana Kaka ,Kakomae Mwamba , Mungu akijalia Tutakutana Katika Ujenzi wa Taifa letu (Tanzania).
Shukran mkuuHongera sana Kaka ,Kakomae Mwamba , Mungu akijalia Tutakutana Katika Ujenzi wa Taifa letu (Tanzania).
Hongera mkulu.kila la herinamshukur Mungu kwa kuniwezesha waoendwa nafukil ld hii sasa itaanza kutokuwa online sasa
Sawa kiongozi,Mungu awatangulie
Walotoka MARA ndo wanaenda mwanza.wameondoka leo so MWanza nazan inaeeza kua kesho au k.kutwa.mwanza lini?
laki 6 unayo hapoBaba kanituma inapatikana wapi
jaman geita lin???
Ni kweli kabisa kakaKuwa na subira team iliyotoka Mara itaenda Mwanza ndan ya wikii hii then wataelekea Geita au Kagera maana kanda ya ziwa inae hzo mikoa...
Kama living ina majina mawili ila vyet vingne vyote yapo matatu hpo inakuwaje????
Degree Holders tena waulize Ilala au Temeke nn kimekua aibu!!.Jukwaa limepoa sana especially kwa wale degree holders na masters holders mbwembwe nyingi sana
Ilikuwaje MkuuDegree Holders tena waulize Ilala au Temeke nn kimekua aibu!!.