Simple minds discuss people.
Oohh kajenga nyumba South Africa,Dubai..kama sifa ya kuwa kiongoz ni umaskini,kamchukue matonya yuko somewhere.Una uhakika gani ni kwa fedha za CDM..unajua zilijengwa lini??kipindi hicho CDM ilikua ina pesa yoyote??
Kazaa watoto wake nje ya nchi kwa pesa za...
Mtatiro,
Honera sana kwa uzalendo uliouonyesha.Natumai kuna njia nyingine inaweza fanyika kukupatia nafasi eneo jingine manake kiukweli uwepo wako unahitajika sana bungeni.Safu ya wapiganaji itakua imekamilika uwepo wako.
God bless you brother
Dr Slaa ashasema uongo wowote ama upotoshwaji ataukanusha hapo hapo..meaning kila kinachosemwa kuhusu yeye kujitoa CDM ni kweli sabab hajakikanusha hapo hapo.Lakin amekanusha hapo hapo taarifa za Yeriko.So sidhani kama kuna maelezo mengine yanayohitajika hapo
nilikua namsikiliza yule mwenyekiti wao..anatia huzuni kweli yule mama,hajielewi elewi hata kidogo.Yule mwingine sjui Gwanchele anasema eti CHADEMA kwa kipindi chote hicho iliwafundisha kuitukana serikali tu..sasa mi naaanza kujiuliza kwa hio kazi ACT kupambana na CDM au CCM..these paople have...
Heshima kwenu wakubwa,
Katika harakati za kutafuta gari ktk mitandao mbalimbali nimekutana na gari aina ya harrier kwenye mtandao wa beforward.jp(details zake ntaziweka hapa chini).Nilikua naomba kufahamishwa kwa uzoefu wenu hili gari litanigharim shilingi ngapi hadi kuliweka...
​Nawasalim woote!!
Nadhani wadau wa Hip Hop toka kitambo watakua wanalikumbuka hili songi...skumbuki vizuri ilikua released mwaka gani lakini wakati inaanza kupenya maskion mwangu nadhani ilikua 2001 kama sio basi ilikua 2000
Najua kuna wadau wengi hum ndani wenye mapenzi na hiphop na...
Aisee we jamaa mwogope Mungu..Mi mwenyewe nakukumbuka sana..hiyo biological Engineering was just a cover..we si ulikua unasomea surveillance,infiltration, weaponry ,hand to hand combat,extraction mwisho wa siku uka specialize kwenye propaganda...naona unaziapply sasa! unanikumbuka viz
uri mi...
CCM kila siku wanasema wabunge wa CHADEMA wakapime akili..ila nafikiri wangeanza na huyu tahira!
Kawakosea heshima wapiga kura wake ambao najua kuna kiasi kikubwa tu cha wafuasi wa CHADEMA..hizi siasa za kizamani sana,ajipaaange...hiki ni kizazi cha kusikilliza hoja sio pumba!!his dayz in...
Wadau naomba kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na haya mambo anisaidie yafuatayo
1.Utaratibu wa kufuata|+ requirements ili kupata leseni ya kurusha matangazo ktk TV
2.Jinsi ya kufanya ili tv station yako ianze kurushwa kwenye ving'amuzi ka startimes n.k
SMH!! Hivi vyote ni visasi tu,we unafikiri oparesheni uwajibikaji ilifurahiwa na wote..Zitto can be many thing but "kuhongwa" this is totally ridiculous!!
Eyes on hands off..hiki ndicho Zitto anacho kipigania lakini itajafahamika tu!!Af mi nashangaa sana kwanini Zitto akisema ana uwezo wa kuwa...
1.Asilimia zaidi ya tisini ya Lecturers ni Wahindi toka Tamil Nadu na hakuna Professor wala PhD holder hata mmoja chuo kizima
2.Dress Code:Round colar Tshirts for men haziruhusiwi,sleeveless shirts for girls not permitted
3.Ni Chuo cha elimu ya juu pekee kinachotumia kengele kumeneji muda ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.