Madaktari kuletwa toka Iran: Msimamo wa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madaktari kuletwa toka Iran: Msimamo wa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by wimbi la mbele, Jul 1, 2012.

 1. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Waziri kivuli wa Afya wa CHADEMA ameamua kuwa invisible juu ya hili sakata la madaktari na dr Ulimboka. Sasa kuna hili suala la madaktari kuletwa toka Iran...naomba kuuliza je CHADEMA wanamsimamo gani juu ya hili?

  Freeman naomba umwokoe waziri wako kivuli ambaye inaonekana ni incompetent kabisa
   
 2. Shinto

  Shinto JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 1,781
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  CHADEMA tunapinga madaktari kutoka nchi yeyote ya kiislamu, tuendelee na mgomo tu.
   
 3. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  ndio msimamo wa chama huo?
   
 4. z

  zanzibar huru Senior Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wapo wengi sana humu watatoa tuu misimamo yao
   
 5. h

  hoyce JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 1,119
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ujinga ni kipaji.
   
 6. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  Mbona unakuwa mtu wa ajabu namna hii? udini mnaoupanda vikirieni madhara yake jamani. angalieni nchi zingine zilizoendekeza mambo haya kama Nigeria.
   
 7. z

  zanzibar huru Senior Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  nchi iko kwenye kipindi kigumu

  badala ya chama pinzani kuja na njia na misimamo juu ya haya mambo wao wamekaa kimyaaa
   
 8. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,423
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  SASA NAAMINI: CCM=UDINI, NA UDINI = CCM. Kwa nini? Kila mchangiaji wa mada katika dau hili anayetetea CCM ni lazima aweke kikolezo cha udini! UJINGA MTUPU! Imani yangu inakuhusu nini wewe jirani yangu katika utaifa na jamii yetu! Mbona tumeishi vizuri tu pamoja watu wa dini mbali mbali tukajinyima tukapigana mpaka tumeupata utaifa wetu uliokuwa ndani ya ukoloni, huku Bara chini ya Waingereza na kule Kisiwani chini ya Sultan!

  Angalia udini unavyoleta madhara! Kule Nairobi leo wamepiga mabomu! NINYI CCM- wavueni magamba wenye kuleta udini katika chama!
   
 9. z

  zanzibar huru Senior Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Natamai kesho CUF waite press conference watoe misimamo juu ya haya mambo

  CHADEMA washashindwa kazi
   
 10. t

  tocolyitics Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe ni chadema ipi labda. pumbav
   
 11. z

  zanzibar huru Senior Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  un believable lakini ndio ukweli wenyewe huo
   
 12. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Nani kakutuma kupanda mbegu za udini CDM?
  Mwambie akufundishe kujenga hoja nzito na za msingi.
   
 13. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Inamaana mwafaka na hawa wakwetu umeshindikana? Au serikali inajidai kuleta ubabe wa kipu.uzi kujidai inaleta madaktari kumbe nyuma ya pazia wanakaribisha majangili? Vip kuhusu mawasiliano kati ya mgonjwa na daktari watatumia lugha gani ili waelewane?
   
 14. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  CHADEMA hawakurukupi kutoa matamko bila kufikiri kwanza!
   
 15. b

  brainee Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umetumwa wewe!!
   
 16. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Akili za mbayuwayu hizi! hebu changanya na za kwako upate jibu!
   
 17. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,365
  Likes Received: 8,351
  Trophy Points: 280
  We ms..... Unaanziaha threads za chadema na udini hivi misikitini ndio mnavyofundishana hivyo??
   
 18. h120

  h120 JF-Expert Member

  #18
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 1,797
  Likes Received: 1,381
  Trophy Points: 280
  Hili litakuwa gamba lina2mia mgongo wa cdm kuchafua hali ya hewa
   
 19. a

  adolay JF-Expert Member

  #19
  Jul 1, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 7,567
  Likes Received: 3,026
  Trophy Points: 280
  Kila chama kinajiendesha kwa kuzingatia taratibu, miiko na maadili kwa viongozi na wanachama wake.

  Ni haki yako kama raia wengine kudai tamko na msimamo wa chama chochote.

  Tamko linatoka lini, wapi, saa ngapi na nan anawakilisha ni jukum la viongozi kwaniaba ya wanachama wao na nchi kama waonavyo wao na si kama utakavyo wewe.
   
 20. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #20
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ur not seriouc mkuu,inaoneka hata akili zako ni ndogo hivyohivyo na upeo wako wa kufikiri ni mdogo,acha kuendekeza mambo hayo mkuu!
   
Loading...