Naomba kujua procedure za kufuata kuanzisha na kusajili kituo cha televisheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba kujua procedure za kufuata kuanzisha na kusajili kituo cha televisheni

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by brainee, Aug 15, 2012.

 1. b

  brainee Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba kwa mtu yeyote mwenye uzoefu na haya mambo anisaidie yafuatayo

  1.Utaratibu wa kufuata|+ requirements ili kupata leseni ya kurusha matangazo ktk TV

  2.Jinsi ya kufanya ili tv station yako ianze kurushwa kwenye ving'amuzi ka startimes n.k
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Waone au waandikie hawa, ndio kazi yao waliopangiwa na Serikali: The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA)
   
 3. E

  Elai Senior Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
Loading...