Nimesikia kwenye vyombo vya habari kuwa mkuu wa mkoa wa Dar amezuia biashara ya Kuuza DVD zenye picha mnato (movies) zá nje ya nchi, mfano zile za kikorea, kihindi, kifilipino nk.
Nilichunguza lengo la yeye kufanya vile nikatambua kuwa anafikiri hio Ndiyo njia itakayosaidia waigizaji wa muvi...
Hakuna hiyo faculty Tanzania, iliyopo inaitwa Electrical Engineering.... Au ordinary diploma in electrical engineering..
Njoo DIT usikilizie joto lake,
NB: uwe na kichwa kizuri vinginevyo utakimbia
Ah hio kozi nzuri ila ajira zake mshahara magumashi, na siku hizi kazi zake nazo magumshi tu, mi niliisoma lakini kwa usumbufu huo imebidi nirudi tena shule kusoma kitu tofauti kabisa. Tena DIT ndo magumashi matupu bora ATC
Hayati Mwl. Nyerere (Allah amrehemu) alipambana maisha yake yote kupinga dhambi ya ubaguzi. Alifanikiwa kuvivunja viini vya ubaguzi japo sio vyote.
Leo hii anatokea mtu anapandikiza tena mambo haya. Eti marufuku kumjulia hali mpinzani, alafu anatumia mwavuli wa usaliti kuwasilisha hili...
Awamu hii watanzania wamepata Hasara kubwa sana... Kuwa na viongozi wasio na mikakati ya kujenga taifa ila kujenga visifa vya ovyo ni Hasara mbaya sana kwa Taifa..
Bodi ya mikopo imeshikiliwa na makada wa Chama wasio na uelewa wowote katika kujenga Taifa la Wasomi.. Ila kujenga sifa zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.