Naombeni ushauri chuo kizuri kwa diploma ya electric engineering

Naombeni ushauri chuo kizuri kwa diploma ya electric engineering

Atc wapi vizuri kwani wana workshop ya electric and electronics+ telecom iliyisheeni vifaa kwa ajili ya mazoezi kwa vitendo.
Pia kuna wanaopasifia Dit ingawa sipajui.
 
Hakuna hiyo faculty Tanzania, iliyopo inaitwa Electrical Engineering.... Au ordinary diploma in electrical engineering..
Njoo DIT usikilizie joto lake,

NB: uwe na kichwa kizuri vinginevyo utakimbia
 
Karibu dit, ila ukijaza kaza kichwa, vingenevyo utanyeshewa supplementary, na hata kudisko
 
Hakuna hiyo faculty Tanzania, iliyopo inaitwa Electrical Engineering.... Au ordinary diploma in electrical engineering..
Njoo DIT usikilizie joto lake,

NB: uwe na kichwa kizuri vinginevyo utakimbia
Ordinary diploma in electrical engineering sio faculty ni course.... ebu kapitie matumizi ya hayo maneno.
 
Jamani naombeni ushauri mimi nimemaliza form four 2016 nimepata division two nataka kwenda chuo kuchukua diploma ya electric engineering.

Je ni chuo gani ni kizuri kwa electric engineering na pia je ni engineering ipi itakuwa na soko pana la ajira baada ya miaka mitatu.
Nakushauri uende advance kijana

Pengine huko mbeleni ukawa ushapata jibu sahihi la wapi pa kwenda

Wengi wanaomaliza form four na kukimbilia chuo hukwama huko mbeleni.
 
usidanganye watu, mm nilihama civil nikahamia electrical pale ATC na soon baada ya kumaliza chuo member wote wa electrical tulipata kazi easly na rafiki zangu waliokuwa civil waliishia kukaa kitaa for a while
Mkuu samahani ulimaliza lini pale ATC
 
Je ni chuo gani ni kizuri kwa electric engineering na pia je ni engineering ipi itakuwa na soko pana la ajira baada ya miaka mitatu.
Kwanza nikusahihishe! Sio electric engineering, ni ELECTRICAL... Pia sidhani kama unaweza ukaingia diploma moja kwa moja. Utaweza kusomea fundi mchundo. Yani full technician certificate ambayo utaisoma kwa miaka mitatu (nadhani)...
Vyuo vizuri vya enzi zetu vilikuwa Mbeya Tech ambacho siku hizi ni chuo kikuu, Arusha Tech na Dar Tech (DIT)... Ukifanikiwa kusoma kwenye hivyo vyuo vitatu, huwezi kukosa kazi hapa nchini... Kila la kheri....
 
siku hizi hamna FTC mkuu, sahv ndio inaitwa Ordinary Diploma... FTC iliisha 2007, 2008 wakawa wameanza kutoa diploma
 
Nakushauri uende advance kijana

Pengine huko mbeleni ukawa ushapata jibu sahihi la wapi pa kwenda

Wengi wanaomaliza form four na kukimbilia chuo hukwama huko mbeleni.
Mkuu hebu ielezee kwa undani. Huu mkwamo ni upi hasa? Nilifikiri ukitoka F4 unaingia certificate/ diploma na bado unaweza kwenda kuchukua degree ukiwa na ujuzi wa kutosha.
 
I think DIT wako vizuri zaidi...telecom. engeenering iko poa
 
Back
Top Bottom