Msaada wa kumroga aliye Senegal, amenitapeli TZS 5 Millioni

Mmemshambulia hadi katokomea mazima hakuna japo mmoja alompa jina la mganga akaroge
 
Ulibabaika na umbo na uzuri,pengine Hata Picha alizokuwa anakutumia sio za kwake. Ukashindwa kuwaza vizuri na ukakosa kabisa ufahamu. So pole,we Isamehe tu. Tafuta nyingine
 
Dawa ya kumroga huyo binti ni ndogo sana....na haina gharama za kutisha...tatizo ni wewe je huko tayari kuyashinda ama kutimiza masharti...?

Anahitajika kuku JIKE mweusi.
Kipande cha shuka (kaniki) NYEUSI....
CHUNGU ama KITEZO rangi nyeus...ila kiwe katika hivyo kimoja wapo hakijatumika...kwa maana kipya..
Mwisho....hakikisha unakuja na jina kamili la huyo binti au kama utashindwa kujua jina halisi (yawezekana alitumia jina bandia) njoo na picha yake...

Ukiweza kufanya hayo.....tukutane kwa ajili ya kutengeneza DAWA ambapo katika moja ya MASHARTI utakwenda kulala MAKABURINI usiku wa saa saba mpaka saa tisa kwa siku tatu....na hakika kwa uwezo alionao BABU YANGU....Pesa yako na ama MWIZI wako atajileta mpaka mlangoni kwako..

Ukiwa tayari nipe jibu ili nikupe CONTACT......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pole lakini, mbn hii ishu ya kitambo, we ulikuaga wapi
 
Sasa unasoma chuo cha nini kama akili yako mwenyewe haikusaidii, nenda kolomije kuna waganga kibao
Hakuna shule duniani inayofundisha akili.Elimu huongeza uwezo wa kuwa na mantiki.Huenda while haikumsaidia kufikiri kwa mantiki
 
Hawachelewag kukupa ma email ya wachungaji,sijui benk manager,mara hii namba ya father nan cjui,,yan wale wala hawapo senegal ni kundi fulan hiv hatar sana la mahuckers wanaweka picha nzurii za wadada,,ili kukuvuta,,maana unapokua rafiki yake mara moja anakuambia siwi fb muda mwngi plz tumia email hii tuwasiliane... Wpo wengi san mpka watanzania wa kinondon wapo
 
huyo hakuwa mwanamke bali ni njemba tapeli ikakuwekea picha ya kimwana.
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
We unataka tu kutupumzikia haiwezekani mtanzania mwenye akili timamu na elimu ya chuo kikuu akatapeliwa kijinga hivo.
 
nitumie mil. 5 nimroge atakuletea mil. 100 ndan ya mwez mmoja
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
Duh, pole sana. Mimi mwenyewe nishatepeliwa kaka. Ni matapeli wa kimataifa mkuu, yaani mimi nilipewa hadi padri nikaongea nae mkuu, nilikwenda mwenyewe postal bank western union nikatuma dola elfu 3 mkuu. Na slip ninayo mpaka leo, kwahiyo usihangaike baba jipange upya.
Hiyo 2010
 
Salam wakuu.

Naomba ushauri wa namna ya kumroga mtu ambaye yupo nchi ya nchi ya Tanzania. Kuna mdada mmoja nilianza kuwasiliana nae mapema mwaka juzi nikiwa Chuo Kikuu Mzumbe,anatokea Senegal.Alianza kwa kuniomba urafiki facebook, nikamkubalia.Alionekana kuwa mwenye umbo zuri na sura nzuri sana.

Ikafikiwa hatua akasema yupo kambi ya kulelea watoto waliopatwa na majanga ya wazazi wao,na yeye akiwa mmoja wapo. Kwa historia yake, alisema babaake alikuwa meneja wa benki kule Sudan kusini lakini baadae aliuawa na kuacha kiasi kikubwa sana cha pesa benki, US$ 20,000,000.(Dola milioni ishirini).

Tukakubaliana mm nitume hela milioni 5 za hapa kwetu kwa ajili ya kuactivate akaunti ya babaake ili hela hizo zichukuliwe. Alisema mm ningepata mgao wa TZS 150,000,000 na alishakubali kuja kuishi hapa Tanzania ili tuoane maana yeye hana ndugu tena.Walikufa kwa machafuko. Nilipambana sana na hali hii ilivyo, nikatuma TZS 5,000,000 (kwa mfumo wa dollar). Cha kushangaza, hata simu aliyokuwa akiitumia kuwasiliana na mm, haipatikani. Hata mlezi wao hapatikani.

Naombeni mbinu mpya ya uchawi ili nimrogee hukohuko.Siwezi kukubali hela yangu ikapotea hivyohivyo mm.Sikubali kabisa.

Msaada please.

Nawatakia jioni njema
pole jombaa itabidi upimwe akili
 
Kama kweli amekutapeli yule dada Rita Dion anavyojiita nawewe ni msomi wa Univetsity kuanzia leo naghairi wazo la kusoma degree. Mbinu anazotumia ni za kitoto sana.
Tamaa ya mwili ndiyo ilikuponza.
Actually, money always play in strong man's hand.
Money,money,money, money.
 
Mtumie tena nyingine utapata ukitakacho usichoke ndugu akitaka tena wewe tuma tu yani tuma tu nasemaje tuma tuu..
 
Back
Top Bottom