Basata mnasubiri nini kumchukulia hatua Ney wa mitego

Kuna maneno makali kama yayule aliyotamka Bukoba kwa wana wliokubwa n tetemeko yaahani Ney kaimba nyimbo kuna tusi gani
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwishomwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
Watu wenye tabia ya kujikomba komba huhitaji gharama kubwa tambua,, wewe jamaa unafanya kazi***************** basi ofisin kwako unatabia ya umbea na ukuda na ndio maana huishi kugombana na wafanyakazi wenzio hapo ifisin sababu ya tabia yako ya udaku na majungu mshatupina maneno na ***********-* siku moja hapo sababu ya umbea wako nadhan unataka kuhamishia tabia hiyo kwa nay wa mitego, aisee yule kijana si wa kisport mtamalizana aisee ,
 
UNA WAZIMU WW....
 
Amemkejeli kiongozi gani!? Hajataja jina la kiongozi hata mmoja!! Ukijihisi umetajwa una lako [emoji28][emoji28][emoji28] the song is doooooope!!!
 
Watu wenye tabia ya kujikomba komba huhitaji gharama kubwa tambua,, wewe jamaa unafanya kazi***************** basi ofisin kwako unatabia ya umbea na ukuda na ndio maana huishi kugombana na wafanyakazi wenzio hapo ifisin sababu ya tabia yako ya udaku na majungu mshatupina maneno na ***********-* siku moja hapo sababu ya umbea wako nadhan unataka kuhamishia tabia hiyo kwa nay wa mitego, aisee yule kijana si wa kisport mtamalizana aisee ,
Atamchana marinda
 
Basata au mtaka mtumbuliwe ninyi? Kuna huu wimbo unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ilioimbwa na msanii Ney wa mitego, unasikika wimbo huo ukiwakejeli viongozi mbalimbali . Maneno yaliyotumika ni Makali sana, najua imetoka mwishomwa juma mtasema hamkuwa kazini basi Jumatatu mchukue hatua na kinyume na hapo hatua zitachukuliwa dhidi yenu
unamfungia ney kisa bashite baghdadi nae kajibu mapigo namashaka hata Roma atakuwa Tongwe wakifungia hawa vijana watachoka wenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom