Maadui wa Paul Makonda watofautiana

Maadui wa Paul Makonda watofautiana

Kutoa chet kumbe inaweza kua ngumu kuliko kutoa figo[emoji23]
ccm hoyeeeeee
 
[QUOTE="byembalilwa,
Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha[/QUOTE]

Toa upuuuzi wako hapo, mwambie huyo unayemtetea aonyeshe vyeti!! Afterall mh Nyepesi alikuwa anatania, watu wenye akili ndogo kama wewe wakadaka fasta na kukimbilia huku bila hata kusoma tweets za mh zilizofuata!! #FichaUjingaWako#
 
Kuna watu akili zao nikama gear ya landrover ukisokomeza kwenda mbele gari linarudi nyuma ukisokomeza nyuma linaenda mbele.
 
Hii sakata kuna mmoja lazima abaki uchi kwa aibu Gwajima ni sawa na mwanamke anaetaka kuona uchi wa mwanaume ili hali yeye kavaa cha msingi vua na wewe wote tuwe uchi watu wanataka vyeti vya Makonda wakati vyao wamefungia kwenye makabati
Kwani umehitaji vyeti vya Dr. J. Gwajima umenyimwa?
 
Hii sakata kuna mmoja lazima abaki uchi kwa aibu Gwajima ni sawa na mwanamke anaetaka kuona uchi wa mwanaume ili hali yeye kavaa cha msingi vua na wewe wote tuwe uchi watu wanataka vyeti vya Makonda wakati vyao wamefungia kwenye makabati
Vyeti vya Gwajima unataka vya nini?
Na kama una neno naye, lianzishe tukuunge mkono. Bashite alitaka kulianzisha la Mwanamke mzaa mwana akakosea step akaishia kubumburua skendo nyingine ya uvamizi...
 
hivi unahitaji gharama kiasi gani kubeba vyeti na kuvionyesha,kasababisha mpaka mkuu katukanwa matusi ya nguoni kisa tu cheti
 
Awe bashiteee awe makondaa wananchi hatujali hiloo!! Mh makonda ni binadamu yapo anayokosea pia yapo anayopatia!!
nyie bavicha mmekalia majungu tu.....
Wauza ngada tulieni tushawachoka
Makonda Oyeee kama matusi mnitukane tu fitna muache
 
Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.

Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa akisema mkuu wa mkoa wa Dsm amefoji vyeti na vyeti anavyotumia pamoja na jina ni la mtu aitwaye Paul kagezi Muyenje na kuzidi kukusitiza kuwa yeye anaitwa Daudi Albert Bashite. Bila kujali kuwa alikuwa anatenda dhambi akaendelea kusema kuwa hata namba ya Dada yake na hyo Paul anayo ikiwa ni pamoja na vyeti vya Bashite..

Adui namba tatu Balile (jamhuhuri) huyu nampa hiyo namba kwa kuwa katika gazeti lake la tarehe 21/22 march alieleza zaid ya kurasa Nana kuhusu habari ya Bashite lakin cha kushangaza alitofautiana na maadui wengine kwa kufika Pamba Sekondari na kutokuta jina la Daud Albert Bashite tofuti na adui wa Pili alivyokuwa ametuaminisha kwa kuja na matokeo feki kutoka Pamba.
Lakini pia adui huyu alipomhoji Paul christian alikiri kuwa hana dada na yey alipata division three ya point 25 kama tulivyokuwa tumeaminishwa na mchingaji Gwajima.

Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha
It is difficult to hide faecal material because of its smell...you look more stupid as you try
 
byembalilwa: Mimi nilifikiri umepewa vyeti unatuletea, kumbe mkono mtupu ambao haulambwi! Kaombe vyeti vyake, scan then tuletee hapa. Au vipige picha tuwekee. Au tukuletee Ney wa Mitego akuimbie ndo utaelewa?
 
Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.

Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa akisema mkuu wa mkoa wa Dsm amefoji vyeti na vyeti anavyotumia pamoja na jina ni la mtu aitwaye Paul kagezi Muyenje na kuzidi kukusitiza kuwa yeye anaitwa Daudi Albert Bashite. Bila kujali kuwa alikuwa anatenda dhambi akaendelea kusema kuwa hata namba ya Dada yake na hyo Paul anayo ikiwa ni pamoja na vyeti vya Bashite..

Adui namba tatu Balile (jamhuhuri) huyu nampa hiyo namba kwa kuwa katika gazeti lake la tarehe 21/22 march alieleza zaid ya kurasa Nana kuhusu habari ya Bashite lakin cha kushangaza alitofautiana na maadui wengine kwa kufika Pamba Sekondari na kutokuta jina la Daud Albert Bashite tofuti na adui wa Pili alivyokuwa ametuaminisha kwa kuja na matokeo feki kutoka Pamba.
Lakini pia adui huyu alipomhoji Paul christian alikiri kuwa hana dada na yey alipata division three ya point 25 kama tulivyokuwa tumeaminishwa na mchingaji Gwajima.

Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha
Jaribu tena..
 
brah brah brah brah brah sitaki kusikia acheni maneno wekeni vyeti vyake
 
Ungekua una akili walau kidogo tu ungejua kua wote hao wapo sahihi; Pamba kimsingi ni shule wanayo soma waliofauru but kwakua yeye hakuchaguliwa kwenda sekondari then akapiga evening class hapo hapo pamba, evening class ni kama private zingine zozote so kutokukuta jina lake pale ni kawaida cause kisheria headmaster atakuonesha majina ya wale aliwapokea kwa maelekezo ya serikali. Hongera Mange, Hongera Gwajima na hongera kamati ya Zitto (though wewe umemtaja Zitto kama personal). Kimange yupo zake USA but alicho kisema kimeshabihiana kabisa na alicho kisema Gwajima na GWajima katwambia hadi na jina la kijiji chake. "Ukweli unayo tabia moja, haupendi kupuuzwa puuzwa" By Mtakatifu Nyerere.
 
Suala LA mkuu Wa mkoa Wa Dar es salaam Paul Makonda limezua sura Mpya baada ya maadui zake wakubwa kutofautiana has a kuhusu uhalali Wa vyeti vyake vya kidato cha NNE. Wiki chache zilizopita adui yke namba moja Mange kimambi aliibuka na kusema Mkuu wa mkoa wa Dar anatmia jina na cheti cha mtu anayejulikana kwa jina la Paul Christian Kagenzi na kuwa alinunua jina hilo baada ya kufeli mtihan Wa kidato cha nne..adui huyo alizidi kusisitiza na kuuaminisha umma kuwa jina halali LA mkuu huyo wa mkoa ni Daud Albert Bashite na ndo jina lake halali alilopewa na wazaz wake ikiwa ni pamoja na kulitumia katika kuitafta elim kabla ya kufel kidato cha NNE. Kutaka kuuaminisha umma Mange alieleza kuwa hilo jina linatumiwa na mtangazaji wa kituo kimojawapo cha redio mjini mkoan Tabora.

Adui mamba mbili Mchungaji Gwajima ,huyu namuita adui namba mbili ,huyu adui Juma takriban nne zilipita alitumia mathabahu take vibaya kwa kueneza chuki na uongo Wa waumin wake ..adui huyu amekaririwa Mara kadhaa akisema mkuu wa mkoa wa Dsm amefoji vyeti na vyeti anavyotumia pamoja na jina ni la mtu aitwaye Paul kagezi Muyenje na kuzidi kukusitiza kuwa yeye anaitwa Daudi Albert Bashite. Bila kujali kuwa alikuwa anatenda dhambi akaendelea kusema kuwa hata namba ya Dada yake na hyo Paul anayo ikiwa ni pamoja na vyeti vya Bashite..

Adui namba tatu Balile (jamhuhuri) huyu nampa hiyo namba kwa kuwa katika gazeti lake la tarehe 21/22 march alieleza zaid ya kurasa Nana kuhusu habari ya Bashite lakin cha kushangaza alitofautiana na maadui wengine kwa kufika Pamba Sekondari na kutokuta jina la Daud Albert Bashite tofuti na adui wa Pili alivyokuwa ametuaminisha kwa kuja na matokeo feki kutoka Pamba.
Lakini pia adui huyu alipomhoji Paul christian alikiri kuwa hana dada na yey alipata division three ya point 25 kama tulivyokuwa tumeaminishwa na mchingaji Gwajima.

Adui wa NNE Mh. Nyepesi huyu namuita adui maana naye amelivalia njuga suala la bashite ikiwa ni pamoja na kutumia mda mwingi kufuatilia suala hilo kuliko suala la wapiga kura wake walikatiwa maji toka juzi. Huyu naye kaenda Nectar hakukuta jina la Bashite wa Paul Makonda.
Tumuamin nan??nawasilisha

Kikubwa alipata Fighting For Food For Four Years.
 
Back
Top Bottom