Recent content by bosco patrick

  1. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiona mwanamke analia wakati wa sex jiulize sana!

    Wengine wanajifanya wanaumia wakati we unafaidi ili umlipe.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

    Wasabato bana. Jitahidini kuchafua labda kuna siku mtafanikiwa. Watu wanahubiri UPENDO nyie mnakomaa na kutunga uongo wa kuchafua madhehebu ya wengine. Sielewi ni mtin**d**I*ooo
  3. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi kampuni za bia zilivyobadili gia angani

    Bado huafikia 18. Imeandikwa +18, utaruhusiwa ukifika huko[emoji6]
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kero ya usafiri wa daladala, naielekeza wizara ya mambo ya ndani.

    Usafiri wa daladala esp mkoa wa Mwanza umekua unaboa sana, unakuta gari imejaa mpaka sehem ya kuweka mguu hakuna then hao makonda wanakuambia gari haijai inajaa ndoo ya maji, binadamu tulivyo na akili chafu tunajazana tu. Cha kushangaza zaidi kuna daladala nyingi sana mkoa huu, kuna gari nyingi...
  5. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watu tunavyo react tunapofuma text za mapenzi kwenye simu za wapenz wetu

    Ulishawahi kuzikuta au unahisi itatokea hivyo best?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Sarafu ya 500 imekuwa dili

    Tunaombeni serikali ifuatilie hili suala. Maana kuna watu mtaani huku mwanza wananunua hizo sarafu kwa sh 1000/= hatujajua mtatumizi yake ni yapi. Na ukifuatilia kwa karibu utagundua kuwa 500 imekuwa adimu, sina uhakika kwa mikoa mingine ila kwa Mwanza. Inaonekana 500 ya noti inapotea kwa speed...
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke wangu ana sura mbaya

    tupia sura yake tukupe tathmin
  8. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania I love u but i have no feeling with you

    Haya mambo yapo, kwa wale tunaoishi kanda ya ziwa tunakutana nayo. That's spiritual problem, kwa hiyo unachotakiwa ndg ni imani yako na Mungu wako ndo atakuokoa.
  9. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niko single eti wananishangaaa

    Tumuulize kama ni under 18. Maana hao wanaogopa kutongoza, au anapiga nyeto
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ukaguzi wa vyeti sasa watinga TRA. Namba zinazidi kusomeka...

    Jamani naomba kuuliza, nimesikia wanakagua kuanzia vyeti vya darasa la saba na kuendelea. Hivi ni kweli? Kama hauna inakuwaje?
  11. B

    JamiiForums Tanzania Hili zoezi la kukagua vyeti ni la kitaifa au kila taasisi?

    Facebook
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mjue the world president under freemasonry and illuminati to supress the third eye of human being

    Hizo ni story za kisabato tumezizoea. Tunawafahamu kwa tafsiri za kinabii za uongo. Wasabato walishatabiri mpaka mwisho wa dunia lakini hakuna kitu. Kwa kifupi hawaelewi wanaposoma biblia maana hawatofautishi kati ya utawala wa kirumi wa zamani na kanisa la RC, ambavyo ni vitu viwili tofauti...
  13. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nihisi mume wangu ana michepuko sina hisia nae

    Kumbuka wanaume 99% wanachepuka. Hata hivyo mlaumu kukufanya ujue, maana wengine wana mpaka watoto nje ya ndoa, ila wake zao hawajui
  14. B

    JamiiForums Tanzania BoT yapanga kuondoa noti zote za mia tano ndani ya miezi 4 ijayo

    Hizo 500/= huku kwetu kuna watu wanazinunua kwa 1000/= hatujui wanaenda kufanyia kazi gani. So ni adimu sana
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbuzi wanaozurura mijini ni wa nani? Inakuwaje hawaibwi na vibaka na hurudi nyumbani hata km 10 wenyewe?

    Ufe kwa sababu ya tamaa ya nyama au vipesa visivyotajirisha.
Back
Top Bottom