NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
Mapenzi haya jamani,ivi kweli huelewi cheo chako hapo?
Au pengine atakuwa anaishi mtwara ndani sana kama malanje,mtimbwilimbwi,kitaya,nanguruwe,mbembaleo,mtiniko n.k ndo maana dada wa watu kaona isiwe tabu katia mgomo baridi!Mapenzi haya jamani,ivi kweli huelewi cheo chako hapo?
Naomba nikuulize, we unataka umfanyenini huyo dada?Hello MMU members,
Mwenzenu nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri sababu nipo njia panda sijui nifanyeje nahisi maoni na mawazo yenu yanaweza kuniondoa au kunisaidia kwenye huu mkwamo.
Awali ya yote mimi naishi Mtwara kwa sasa ndipo napofanyia kazi lakini origin yangu ni Shinyanga, nilitokea kumpenda binti mmoja miaka kama kumi iliyopita by then tulikuwa sekondari na nilikuwa namtangulia madarasa kadhaa sikuweza fanikiwa kuwa naye kwa kipindi kile sababu alikataa kuwa kwenye mahusiano.
Kweli niliumia sana kwa kukataliwa ombi langu but still niliendelea kumpenda na alinivutia kila nilipokutana naye kwenye makorido ya shule. Baadae kila mtu aliendelea na mishe zake za shule tukawa tumepotezana na bad enough sikuweza kuwa na mawasiliano yake.
But daima nilimkumbuka sana na pamoja na miaka mingi kupita still nilimpenda na nilimuwaza ijapokuwa hatuonani na nilijua yeye hakunipenda. Facebook zilipokuja nilijaribu kumtafuta but sikufanikiwa coz majina niliyokuwa naandika zinatokea sura za watu wengine but miezi kama minne iliyopita niliona sura yake FB na alikuwa anatumia jina jingine nilimwomba urafiki akakubali.
Tulifanya chatting kuulizana tulipo na hali zetu za maisha in general yeye alinambia yupo kwao Shinyanga na baadae tukaamia wasap nikaanza kupasha tena kiporo, kipindi hiki hakukataa alikubari moja kwa moja na alionekana yuko very concerned na mimi.
Nilijaribu kumwuliza mahusiano yake yaliyopita but alinambia hayuko kwenye good terms na huyo mtu wake although wako wote kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano hivyo alinambia nikimhakikishia nampenda ataquit coz nilimpenda kutoka moyoni nilimwambia she can do so but afanye handover ya kueleweka kwa mtu wake hasije akamsumbua.
Alikubali na alienda kumwambia huyo jamaa kuwa ameamua kuachana naye na amepumzika from relationship but jamaa aliwaka na alikataa kata kata kwamba huyu hawezi kumpotezea muda kiasi hicho na alishachezwa machale ya kunyang’anywa tonge mdomoni. Jamaa nasikia alibembeleza but huyu msichana alikataa kurudi na alisisitiza msimamo wake wa kutaka kuishi singo. But inaonekana jamaa alishachezwa na machale kabla coz muda mwingi nilimkeep bize sana huyu mdada kwenye maongezi ya simu.
Tuliendelea kuongea na tukakubaliana nimtumie nauli aje hapa Mtwara ili tujuane zaidi msichana huyo bila ajizi alikubali na mimi nilituma nauli. Alifanya arrangement na akaweza kufika huku Mtwara ninakoishi nilifurahi sana kuonana naye nilimhug na kukiss I was so happy ki ukweli coz nilijua ndoto yangu ya kuwa na huyu binti inaelekea kutimia.
Taratibu zote za kupokea wageni hasa wapenzi nadhani zinajulikana but huyu dada hakuonekana kunisupport nikajua may be amechoka na safari ngoja kwanza apumzike but siku iliyofuatia nilipojalibu alikataa na alinambia anajihisi kunipenda that’ Y katoka kule alipotoka but hana feelings kabisa za kufanya nilijaribu kumrudisha but alisema hajisikii kabisa. Nimejaribu kumwuliza but hajui na anasema ananipenda sana na nimvumilie hadi pale hali yake itakapotengamaa, binafsi nimemwelewa but nina maswali najiuliza.
Je kipi kimempata, Is it psychological problem or spiritual problem? Au bado mahusiano yake ya nyuma yanamsumbua kiasi kwamba anajifeel guilted kuwa na mtu mwingine?
Je ni kweli ananipenda au ndo hivo ananifariji? But me nampenda sana?
Je atakuwa amejiadaa kuwa hampendi huyo jamaa kumbe still feeling kaziacha?
Je nifanye nini kumsaidia na mimi kujisaidia pia. She loves me but she has no feeling with me?
Hakupendi hata kwa mganga ila ni ushawishi wako tu nai ugumu wa kimaisha ndiyo maana na huenda kwa sasa ana mimba hata ya huyo jamaa yake wa mwanzo.Hello MMU members,

Uoga flani upi tena?kwani jamaa ana nyoka kwenye suruali?Staki kumjudge huyo girlfriend wako sababu ishawah nitokea, tena mimi nilitoka nchi nyingine kuja bongo kumtembelea my bf kwake, nlikaa Wiki hatukufanya anything alijaribu nikamwambia sina feelings alinielewa later on i got feelings tena za mwendokasi coz aliweka efforts me nibuild feelings kwake
Hapo inasababishwa na mazoea unajua huwez sex na mtu ambaye hamna ile romantic bond kunakuwa kauoga flani ivi so hadi mzoeane ndo unakuwa free, jenga mazoea nae mdekeze'dekeze izo feelings zinakuja tu automatic.
Kweli ww miss chaggaukweli hakupendi kabisaaa.. ila alikuja mtwara kuangalia una nini ili ajiweke hapo , kwa hiyo vitu ndiyo vingemshiaka ila kwa kuwa hakupendi na akakutana na huna chochote kapuku tu ,, akaona azuge hana hisia ... HUPENDWI NA KAMA UNAMTAKA TAFUTA HELA UTAMUWEKA NYAVUNI
ohhh mwadilaa!Nyie ndo mnafanya wasukuma tuonekane ni mapimbi
Hello MMU members,
Mwenzenu nimekuja hapa mbele yenu kuomba ushauri sababu nipo njia panda sijui nifanyeje nahisi maoni na mawazo yenu yanaweza kuniondoa au kunisaidia kwenye huu mkwamo.
Awali ya yote mimi naishi Mtwara kwa sasa ndipo napofanyia kazi lakini origin yangu ni Shinyanga, nilitokea kumpenda binti mmoja miaka kama kumi iliyopita by then tulikuwa sekondari na nilikuwa namtangulia madarasa kadhaa sikuweza fanikiwa kuwa naye kwa kipindi kile sababu alikataa kuwa kwenye mahusiano.
Kweli niliumia sana kwa kukataliwa ombi langu but still niliendelea kumpenda na alinivutia kila nilipokutana naye kwenye makorido ya shule. Baadae kila mtu aliendelea na mishe zake za shule tukawa tumepotezana na bad enough sikuweza kuwa na mawasiliano yake.
But daima nilimkumbuka sana na pamoja na miaka mingi kupita still nilimpenda na nilimuwaza ijapokuwa hatuonani na nilijua yeye hakunipenda. Facebook zilipokuja nilijaribu kumtafuta but sikufanikiwa coz majina niliyokuwa naandika zinatokea sura za watu wengine but miezi kama minne iliyopita niliona sura yake FB na alikuwa anatumia jina jingine nilimwomba urafiki akakubali.
Tulifanya chatting kuulizana tulipo na hali zetu za maisha in general yeye alinambia yupo kwao Shinyanga na baadae tukaamia wasap nikaanza kupasha tena kiporo, kipindi hiki hakukataa alikubari moja kwa moja na alionekana yuko very concerned na mimi.
Nilijaribu kumwuliza mahusiano yake yaliyopita but alinambia hayuko kwenye good terms na huyo mtu wake although wako wote kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitano hivyo alinambia nikimhakikishia nampenda ataquit coz nilimpenda kutoka moyoni nilimwambia she can do so but afanye handover ya kueleweka kwa mtu wake hasije akamsumbua.
Alikubali na alienda kumwambia huyo jamaa kuwa ameamua kuachana naye na amepumzika from relationship but jamaa aliwaka na alikataa kata kata kwamba huyu hawezi kumpotezea muda kiasi hicho na alishachezwa machale ya kunyang’anywa tonge mdomoni. Jamaa nasikia alibembeleza but huyu msichana alikataa kurudi na alisisitiza msimamo wake wa kutaka kuishi singo. But inaonekana jamaa alishachezwa na machale kabla coz muda mwingi nilimkeep bize sana huyu mdada kwenye maongezi ya simu.
Tuliendelea kuongea na tukakubaliana nimtumie nauli aje hapa Mtwara ili tujuane zaidi msichana huyo bila ajizi alikubali na mimi nilituma nauli. Alifanya arrangement na akaweza kufika huku Mtwara ninakoishi nilifurahi sana kuonana naye nilimhug na kukiss I was so happy ki ukweli coz nilijua ndoto yangu ya kuwa na huyu binti inaelekea kutimia.
Taratibu zote za kupokea wageni hasa wapenzi nadhani zinajulikana but huyu dada hakuonekana kunisupport nikajua may be amechoka na safari ngoja kwanza apumzike but siku iliyofuatia nilipojalibu alikataa na alinambia anajihisi kunipenda that’ Y katoka kule alipotoka but hana feelings kabisa za kufanya nilijaribu kumrudisha but alisema hajisikii kabisa. Nimejaribu kumwuliza but hajui na anasema ananipenda sana na nimvumilie hadi pale hali yake itakapotengamaa, binafsi nimemwelewa but nina maswali najiuliza.
Je kipi kimempata, Is it psychological problem or spiritual problem? Au bado mahusiano yake ya nyuma yanamsumbua kiasi kwamba anajifeel guilted kuwa na mtu mwingine?
Je ni kweli ananipenda au ndo hivo ananifariji? But me nampenda sana?
Je atakuwa amejiadaa kuwa hampendi huyo jamaa kumbe still feeling kaziacha?
Je nifanye nini kumsaidia na mimi kujisaidia pia. She loves me but she has no feeling with me?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba nikuulize, we unataka umfanyenini huyo dada?
Ni kweli kabisa,hujakosea kucomment mkuu,watu wanaelewa tofauti,na huyo Dada ukute anafeel guilt kumuacha mpenzi wA zamani(sidhani Kama ukifeel guilt ni ishara kwamba Bado unampenda x wako) Yaani kuanza relationship mpya ni kazi Sana sembuse kusex na mtu kwa Mara ya kwanza??Hapo inasababishwa na mazoea unajua huwez sex na mtu ambaye hamna ile romantic bond kunakuwa kauoga flani ivi so hadi mzoeane ndo unakuwa free, jenga mazoea nae mdekeze'dekeze izo feelings zinakuja tu automatic.
Hiyo ni kweli Kabisa,kweli,bado anajiskia mwenye hatia
unapokua na mwanaume mmoja kwa muda mrefu
bila kubadilisha...
mkija kuachana inakua ngumu sana kuanza kusex na mwanaume mwingine kwa sababu unajiona bado kama umemkosea yule mtu ..unakua bado na memories nyingi kuhusu yeye/ulimzoea
pia huyo bwana bado ana lalamika kua anampenda
kwahiyo mwache kwanza msubirie akiwa ok
mtayajenga ,hapo alipo bado hajajiamini
mguu nje mguu ndani...