Kero ya usafiri wa daladala, naielekeza wizara ya mambo ya ndani.

bosco patrick

Member
Nov 12, 2015
16
6
Usafiri wa daladala esp mkoa wa Mwanza umekua unaboa sana, unakuta gari imejaa mpaka sehem ya kuweka mguu hakuna then hao makonda wanakuambia gari haijai inajaa ndoo ya maji, binadamu tulivyo na akili chafu tunajazana tu. Cha kushangaza zaidi kuna daladala nyingi sana mkoa huu, kuna gari nyingi zinapita bila abiria wakati wengine wamejaza kupiata kiasi. Hata ukipanda kistaarabu umekaa kwenye siti yako watakuja hao wa kusimama wanakusumbua, mara nishikie mzigo, mengine yanakukanyaga, cha ajabu tena wapo askari wa usalama barabarani wanachukua vyao vya kufutia viatu. Kuna wengine wastaarabu huwa wanauliza kwa nini kusiwe na sheria kama ya Kenya kwamba abiria ndo apigwe faini na sio mwenye gari? Kwa sababu wengi wanawachukulia wenye daladala kama viranja flani na bila kuwasikiliza wao na kuwashindilia kama mizigo hawatasafiri milele. Mwigulu Lameck Nchemba hii kitu imekushinda? Tuachane na waliopita
 
Nini Mwanza kuna Gongo la Mzee Mboto na Mbagala...Pamoja na treni ya Gomz bado hali ni mbaya kotekote
 
Back
Top Bottom