Niko single eti wananishangaaa

Niko single eti wananishangaaa

Utakuwa na element za kichoko, au una upungufu wa nguvu za kike (TOMBOY)!!!
 
Muulize Le Mutuzi jinsi the Mbululazz wanavyomnyatia kila anapopita!. Poor guy, he knows this better!.
Eeh ukishajua jinsi ya kuwatumia watu wambea wambea Raha saana...
Big Up Le Mutuz kwa kuing'amua siri hiyo
 
Wakuu naomba kuuliza kama Kuna ubaya wowote kwa mwanaume kukaa bila mpenzi.
Nadhani hujatoa ufafanuzi zaidi ili wenzetu wakuelewe zaidi ndio mana unaona wangi wanakushanga,ebu jaribu kufafanua
kama hauko tayari kuoa au hutaki mpenzi wa kudumu lakini wa mara moja moja yupo ili iwe rahisi kuchangia..
 
hakuna ubaya kijana endelea tu ila pia ujizuie na pur na vile vile ujiandae kuoga majanaba kila ukiamka.
 
Ukiona mtu anakushangaa basi ujue anamtazamo tofauti na wako
Toka nimeachana na wife, imeshapita miaka miwili sasa sijihusishi na mahusiano ya kimapenzi na bado nafsi yangu ni nzito sana kufungua mlango kwa mwanamke mwingine
Mahusiano yanaraha zake na kero zake pia, kama haupo tayari kukabiliana na changamoto hizo kaa nayo mbali
N.B
Kuna tofauti kati ya kuwa na mpenzi na kufanya ngono, hapa ndipo watu wengi hawaelewi.
 
Katika maisha yako wewe ndio nahodha wa uelekeo wake......kila jambo linakuwa muhimu kwa namna anavyoliona mtu...na kwa jinsi wanavyoliona watu wengine.....ndio maana tunatofautiana mitazamo na maoni hata katika mambo yanayofanana.....
Kuwa single au kuwa na mpenzi kunategemea na wakati uliopo na hali uliyokuwa nayo.....

Lakini yote kwa yote si vyema kufanya jambo kulingana na maoni au mitazamo ya watu juu ya jambo hilo....ni vyema ukajipa muda na wewe na nafsi yako ukalitafakali vyema jambo hilo.....kabla ya kulifanyia maamuzi lakini hakikisha kwa asilimia kubwa maamuzi yako hayatokani na mitazamo ya watu wengine juu ya jambo hilo.....
Tunaishi katika jamii za watu tuliotofautiana kimawazo kulingana na mambo waliyoyapitia maishani mwao.......

Mtu aliyetoka kuumiza kwenye mahusiano hivi karibuni au kwa kipindi chote cha maisha yake hawezi kuwa na maoni mazuri juu ya masuala ya mahusiano zaidi ya kukusihi wewe usitumbukie huko.....kwani kwa mtazamo wake ni kuwa kujiingiza kwenye mapenzi ni sawa na kujiingiza kwenye mdomo wa mamba.....

Wakati huo huo ukimuuliza maoni ya mtu ambaye anayafurahia maisha ya mahusiano lazima atakushangaa kwanini mpaka muda huo haupo kwenye mahusiano kwani anakuona unakosa raha sana kwa wewe kutokuwa kwenye mahusiano.......ndivyo mambo yanavyokuwa na inatakiwa uwe makini kweli kweli bila ya kusahau kuwa ile yote ni mitazamo yao juu ya jambo hilo na sio sheria ya wewe kulazimika kufanya hilo hata nafsi yako na akili yako haviko tayari.......
Maoni mabaya ju ya jambo fulani kutoka kwa mtu fulani hakumaanishi kuwa hilo jambo ni baya sana na halipaswi kufanywa na wengine.....vile vile maoni mazuri juu ya jambo fulani haimaanishi kuwa hilo ni jambo zuri na halina madhara kwa wengine..........
Yote inatokana na wewe utayari wako wa jinsi ya kuliendea hilo jambo....ukizingatia unyeti wa jambo kama la mahusiano kwani wanasemaga kuwa maumivu yake hayana dawa.....na kitakachofuata hapo ni kuwatupia lawama watu wengine waliokushawishi kuingia kwenye ulimwengu huo......

Suala la mapenzi ni la binafsi wewe ndio mhusika mkuu...wewe ndiye utakayekuja kuishi na huyo mpenzi kwa hivyo mabaya na mazuri ya huyo utakuja kuyaona wewe......jiweke tayari kwa jambo hilo ukijiangalia wewe....

Take control of your life.....
 
Umeshindwa kumtafuta hata yule jamaa wa clouds tv @kaoge
 
Asilimia 99.9% mawazo yameelekea kwenye Ngono na sio mahusiano.
Yawezekana mtoa mada hajaeleweka. Au mimi ndio sijamuelewa.
- udomo zege
- kupiga punyeto
- kuwa hanithi n.k
Na swala la kuwa single kwa anae waza mbali si dhani kama atatangulia kifikiria hayo.
Sababu swala la mahusiano ni jambo moja na swala la sex ni jambo la pili.
Mtu anaweza asiwe kwenye mahusiano na akawa anaendelea na swala la sex kama kawaida.
Na upo uwezekano pia ukawa kwenye mahusiano lkn swala la sex ukaambiwa usubiri hadi ndoa ipite nalo lipo.
Mimi nadhani tusikurupukie mada bali tuilewe kwanza.
(Nimtazamo wangu tu)
 
Back
Top Bottom