Sio hao wezi walio mmulika Kamanda, bali Kamanda akiwa kwenye gari na mwanamke ndiye aliyewamulika hao wezi wakiwa wametoka kuiba.
Ndipo mmoja kati ya hao wezi akakasirika na kuifuata hiyo gari aliyokuwemo Kamanda (ambayo ndo imewamulika) akagonga kioo na kuhoji kwanini umetumulika?? Kamanda...
Foreign Affair and International cooperation minister, Prof Palamagamba Kabudi enumerated Tanzania's good governance record at the United Nations General Assembly but critics back home said the minister fell way short of tackling the real challenge that the government was facing.
Prof Kabudi...
Robert Mugabe rais wa kwanza wa Taifa la Zimbabwe aliyefariki leo September 6, 2019 akiwa kwenye matibabu huko nchini Singapore aliliongoza Taifa hilo toka mwaka 1980 hadi 2017 alipong’olewa madarakani kwa msaada wa Jeshi, alizaliwa katika familia duni mnano (Kimasikini) mnanmo tarehe 21 mwezi...
Kwanini amekuwa na haraka kiasi hiki???
Yaan kutoka Mwanza to Dar bado tu hakuwa ameamini kwamba uko tayari...
Kwa mbinu hizo hizo alizokushawishi hadi umefunga safari kwa ajili yake kuja Dar, alitakiwa azitumie kuhakikisha unamuamini zaidi ya ulivyokuwa unamwamini mwanzo, halaf kiulaini kabisa...
bonizacharia.bz@gmail.com.
Wamekuwepo wengi katika tasnia ya muziki hasa muziki wenye radha halisi ya kiafrika, na wamesaidia mengi katika kutangaza utamaduni wenye maadili ya kiafrika, lakini huyu! Hakika sio rahisi kusahaulika, huenda itachukuia muda mrefu kutoka katika vichwa vya watu wengi...
Daah, nimeumia sana utafikiri ni mimi....
Utakuta huyo Baba Nasma anajitahidi kutunza Familia na anamheshimu hadi amempa ruhusu ya kutoka...
Ila sasa mwanamke ndo kwaaanza anapelekwa na sijui Dada ake ili akagegedwe. So sad...
Pole sana Baba Nasma, kama kweli umeshausoma uzi huu, fikiria sana...
Wadau habari zenu, Poleni kwa majukumu ya hapa na pale kadhalika poleni kwa wote walioguswa na msiba wa Mkurugenzi wa vipindi na uzalishaji wa Clouds Media Group Ruge Mtahaba na wanafamilia wote.
Nijike moja kwa moja kwenye lengo la ujumbe huu kama kichwa kinavyojieleza, Nimekuwa humu tangu...
Uko busy!! Kwanini umetoa nafasi ya kuulizwa maswali kama uko busy??
Na namna unavyojibu maswali+mwandiko umewayeyusha watu hawana uhakika wa majibu ikiwa watauliza maswali...
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari waungwana, nawasalimu nyote
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, mm nimelitazama hili kama swali la kufunga mwaka kwa upande wa burudani na nikaamua kuli_solve kama kipindi kile cha mitihani hasa maswali ya History..
Na Bonidizo.
Kwa sababu History is the study of man and his...
Kwamba saloon nisipotumia 30,000 mm ni mchafu??? Tunaoenda saloon za kawaida 3,000 kwa huduma mara mbili au mara tatu kwa mwezi sisi ni wachafu na Perfume ni lazima ziwe tatu ikiwa moja au hakuna ni uchafuu???
Basi wengi ni wachafu hata mm ni mchafuu.
Mmmh hizi trick na majibu yake, vyote sikubaliani navyo hata kidogo, hasa kwa zama hizi coz sio msichana wala mvulana kila mmoja.
Kuna walio Simple and clear na kuna walio makini na kuna walio makini zaidi inategemeana umeangukia kwa nani kati ya hao.
Mfano.
Mdada atakujib hayupo tayar ila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.