Majibu yatongozo and how to react/nini cha kufanya

Majibu yatongozo and how to react/nini cha kufanya

Hahahah, ukitoa ushirikiano kwa mawasiliano mazuri tu soon tunakulana na kuwa wapenzi rasmi ila wengine mapozi mengi. I hate such girls
Hapo kwenye mawasiliano mazuri ndo penyewe ndo kukubaliwa kwenyewe.....
Mapozi inategemea may be kuna vitu hajaridhika nawe hivo anajipa time ili uoneshe vitu vitakavofanya apate hisia.
 
Mmmh hizi trick na majibu yake, vyote sikubaliani navyo hata kidogo, hasa kwa zama hizi coz sio msichana wala mvulana kila mmoja.

Kuna walio Simple and clear na kuna walio makini na kuna walio makini zaidi inategemeana umeangukia kwa nani kati ya hao.

Mfano.
Mdada atakujib hayupo tayar ila kumbe anapima msimamo wako, atakuzungusha kumbe anakusoma ila men atajifanya mjanja kwa ataanza kuruka ruka kumbe ndo anachoreka maana alikaririshwa trick na majib kutoka kwa "KE"

'KE' huenda asiseme au aseme yote uliyoyataja ila matendo yake na yakadhihirisha anakupenda na ikawa kwel amekuelewa sio lazima aseme Nimekubali, au hata mm nakutaka.

Unaweza kujenga mazoea makubwa na 'KE' na mwisho wa siku sababu ndogo au neno moja tu likatosha ww kuwa nae.

Kiufupi kukubaliwa na kukataliwa inategea mazingira, kuna watu wamejibiwa haiwezekani tena akakazia haitakaa itokee mwishowe wakaoana na wanaishi.
 
MIMI SIJAWAH KUKATALIWA, MWSHO, SI KILA MWANAMKE NI WA KUMTONGOZA KWA KUWA NAYE, WENGNE HUTONGOZWA KWA KUOMBWA KIJANJA PAPUCH, YAN PAPO KWA PAPO.... MWINGNE UNAWEZA UKAMSFIA AKALEWA SIFA, KUJA KUSTUKA USHATAFUNA.. SASA MIJITU MINGNE IMEKARIRI STYLE YA KUAPROACH, MATOKEO YAKE HAD KAHABA UNAMWAMBIA UNAMPENDA, SHENZ, C ATAKUONA UNAMCHORA
 
Nakuona kama kaka angu...ujijue we mpumbavu unaleta sura ya huruma na kujifanya mtakatifu sana,tuwe marafiki ujue huna mbinu wala hajioni km yupo na mwanaume mwenye quality za kiume,nina mtu inaweza kuwa kweli au sio type yake au anakupima ingawa ni kipimo kwamba hujui kutongoza maana mtongozaji mzur hampi mwanamke mda wa kubargain anatomba hlf wakati mnavaa nguo ndo mwanamke anasema sasa ujue mi nina mtu!na wewe unajibu endelea nae...asante kwa yote
 
Mimi ndio nishasahau mitongozi ..mm kazi huwa ni moja ku transform akili yake isiofie kuzungumza chochote mbele yangu any shit sawa tyu... then hapo story za migegedo zitachukua nafasi kwa kipindi fulani(hiki hakijulikani) .. mwisho kila mtu anaingia mtegoni kwa mwenzio mna socialize[emoji41]
 
mie nimechange approach....nikimtamani demu naomba simu yake naweka number yangu kwake...namwambie anitafute akinitafuta basi najua kazimika akipipiga kimya basi ndo hivyooo..... na kati ya kumi niliofanya hivyo nane walinitautaa

N.B-Nasema nikimtamani coz siamini katika kupenda at first time!
 
tricky zipo nyingi sana,kutongoza ni kizamani maisha yashabadirika unaweza kutumia mbinu yeyote na ukampata mwanamke mzuri tu sababu ya ukichaa wako,wanawake wanapenda fun things,they need to feel happy and be loved,tena kwa vitu vya kijingakijinga tu,kuna demu mkali kitaa alihamia vijana wamekimbiza na saundi zao kawachomolea,mhuni nilivyoonyeshwa nikamlia tyiming anapita nikampiga picha kali kwa kutumia simu,alikuwa anakuja uelekeo ninaotokea,akahisi nimempiga picha,tulivyokutana nikamshika mkono nikamwambia mambo huku kakunja sura,akajibu huki hapendi nikamwambia nimekupiga picha umejiona ulivyo mzuri,akaitazama kabla hajasema chochote nikamwambia nipe namba yako ya whatsapp nikurushie picha yako,akacheka akaniambia nimpe simu aiandike,akaandika akanipa simu nikaisave nikamrushia pia na kumsifia kidogo,akajibu kuwa nimemfurahisha pia naonekana mtundu,tukachat chat kama wiki hivi akala dyu dyu hadi saiv ni mwanamke wangu,nikaonekana biiingwa kumbe tricks tu..so mwanmke yeyote unaweza kumpata popote bila sababu yeyote ya maana,siamini katika kanuni yeyote..
 
Sitasahau nilivo maliza kidato cha sita miaka hiyo..narudi nyumbani toka boding nikiwa na njaa kali na wanawake,kila mwanamke nilie mtongoza alinijibu nisivyo talajia yani hayo majibu yote ulio yatoa niliyapata kile kipindi
Kwenye kumbukumbu zangu nakumbuka nilifisha 1 ya 22,yani kati ya wanawake 22 niliotongoza nilipata mmoja,nae sikufanikiwa kugegeda dah..wanaume tunapitia mengi sana..ila ahsante mungu kwa maana hapo baadae nilipata mwanamke mwenye kila kigezo cha kuitwa mke,baada yakupitia kipindi kigumu mno.
Ama kweli ata dhahabu hili ing'ae lazima ipitishwe kwenye moto mkali.[emoji847][emoji847]
 
Back
Top Bottom