Recent content by BongeMwepesi

  1. BongeMwepesi

    Kampuni ya michezo ya kubahatisha ya M-Bet yawapa shavu la udhamini michuano ya Ruvuma Vijana Cup

    Akizungumza leo Msemaji wa M-Bet Tanzania amesema wamefikia hatua hiyo ya kudhamini ligi hiyo ya Ruvuma Vijana Cup Ikiwa ni muendelezo wao wa kusapoti kuibuliwa kwa vipaji vya vijana wa Kitanzania na wataendelea kufanya hivi kwenye tournaments mbalimbali zinazoendelea nchini. Lakini pia ni...
  2. BongeMwepesi

    Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Ruvuma kupeleka orodha ya watumishi wala rushwa kwa Rais Magufuli

    Mwenyekiti huyo wa UVCCM Raymund Mhenga ameyasema hayo kwenye mahafali ya 10 ya Wahitimu wa Chuo Cha Ufundi Top One College.Mhenga amesema anapeleka majina ya watumishi wa Serikali ambao wanakwamisha wawekezaji na mabingwa wa Kuomba Rushwa kwa wananchi kwa Rais Magufuli kupitia kwa Mkuu wa...
  3. BongeMwepesi

    Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa

    Maana kipindi kama hiki ni kigumu sana mie nilipiga mke wangu nusu kuua,na nilikuwa sijawahi kumpiga toka nimeoa,na sikuwahi msaliti kwa miaka yote mitatu ya ndoa.Nilikaa nae mbali kwa miezi 6 ,Miezi hii 6 ilitosha kunifanya nibadili mawazo na kumsamehe hasa pale alipoonesha kubadilika nami kwa...
  4. BongeMwepesi

    Mrejesho: Fumanizi lilivyofanyika na nina ya kusema hapa

    Bro kwa sasa unahitaji utulivu wa hali ya juu sana.Tengana na mwenza wako kwa muda upate kutuliza machungu ya moyo wako na kuweza kupata muda wa kutafakari kwa kina,nimepitia changamoto kama yako lakini sasa naendelea vizuri na mke wangu
  5. BongeMwepesi

    Mwanza: Fiesta yasababisha Mechi ya Simba na Mbao kuchezwa Alhamisi

    Kama waliwahi ku book uwanja wana haki zote
  6. BongeMwepesi

    JamiiForums Usiku wa manane

    Am here
  7. BongeMwepesi

    Uongo gani uliwahi mdanganya mpenzi wako akakubali, ukajiona umeponea chupu chupu?

    Hapa nimahaidi i phone 7 kkutwa najipanga fix gani nipige ikifika that day Sent using Jamii Forums mobile app
  8. BongeMwepesi

    Njoo Tuambiane Kijiji Chetu Tulichotoka

    Mie kwetu mpitimbi Sent using Jamii Forums mobile app
  9. BongeMwepesi

    CHAPUTA(Chama cha Punyeto Tanzania)

    ushawahi kupiga ya kumfungia Nzi kwenye mfuko alafu unauvaa kwenye m...***oo,Kila Nzi akiruka ruka stimu zinakuja ...Hatariiii sana Nyetoo
  10. BongeMwepesi

    Video: Diamond Platnumz-Eneka (Official video)

    Mie siku hizi namsikiza dogo aslay tu Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
  11. BongeMwepesi

    Kama umewahi kupiga au kupigwa kwenye mahusiano sogea hapa

    Nishawahi mtembezea mkono Mtu na baadae kumpeleka hospital ...siji kurudia kwa kweli
  12. BongeMwepesi

    Sijui Nimtafune?

    Mtupie uji mzito wewe
  13. BongeMwepesi

    Live Streaming: Mtongozano Kiutu uzima

    Mie mpaka nimesahau kutongoza
  14. BongeMwepesi

    Kuombewa na mtumishi wa Mungu GeorDavie ni laki moja kwa kila mtu

    Unamshangaa Huyo wakati Nabii Frank consultation ya maombezi kwake ni laki mbili na nusu
Back
Top Bottom