Hiki kimsemo cha kumuita kila mtu 'kaka' kinaboa

Hiki kimsemo cha kumuita kila mtu 'kaka' kinaboa

Ni baadhi y misemo inayozuka na kuisha na wakati
awali nilidhani ni heshima na sikupata shida but baadae hata watu wazima wakaanza kuwaita vijana wadogo "kaka'"
sheeeeet
Ni jana tu nimetumiwa sms na bwana mmoja ananizidi 7 years eti " KAKA NIPIGIE"
sijampigia hadi mida hii.
Yaan ndo ninachosemq
 
Bora tu akuite kaka akikuita dada si ndo utalia kabisa kaka....................................
 
Zote heshima tu maanake hakuna namna either uitwe dogo
 
JF,

Kuna misemo tofauti tofauti imekua ikiibuka katika baadhi ya vipindi.

Kimsemo kimoja wapo ni hii cha "kaka" ujue sijui ni kutokana na kuzoea kiswanglishi au vipi?.

Bora mtu aniite blaza kuliko aseme kaka sijui najisikiaje afu bora angalau awe mdogo au mwanamke angalau sioni shida.

Sasa mtu ni age-mate au amekuzidi anakupigia sim au mnaonge anasema "habari kaka" yaani katika kila kitu kaka
Aah! naboreka na nibora aseme kaka flani labda.

Sasa kaka kaka kaka wakati kaka zenyewe hawamaanishi wanaongea kama kimsemo au kafasheni "

INANIBOA

SIJUI WADAU WENGINE MNAONAJE
Kaka vipi uko poa?acha kumaind vitu vidogo basi kaka!halafu kaka inaonekana utumwa wa kifikra unakutafuna kaka,inawezekanaje kuitwa kaka inakuboa hlf unaona ufahari kuitwa braza!?umeniboa sana kaka[emoji34] [emoji35]
 
Kama halikubadilishi jinsia uliyo nayo sidhani kama linakuwa na ubaya.

Kubali tu kaka hakuna jinsi au uwe unawaambia jina ambalo unalipenda na unaona wakikuita nafsi yako itaburudika.

Hivi emmyta kwa nini hunisomei yale mashtaka wakati umesema upelelezi tayari umekamilika?
 
JF,

Kuna misemo tofauti tofauti imekua ikiibuka katika baadhi ya vipindi.

Kimsemo kimoja wapo ni hii cha "kaka" ujue sijui ni kutokana na kuzoea kiswanglishi au vipi?.

Bora mtu aniite blaza kuliko aseme kaka sijui najisikiaje afu bora angalau awe mdogo au mwanamke angalau sioni shida.

Sasa mtu ni age-mate au amekuzidi anakupigia sim au mnaonge anasema "habari kaka" yaani katika kila kitu kaka
Aah! naboreka na nibora aseme kaka flani labda.

Sasa kaka kaka kaka wakati kaka zenyewe hawamaanishi wanaongea kama kimsemo au kafasheni "

INANIBOA

SIJUI WADAU WENGINE MNAONAJE
Kwa hiyo tukuitaje sasa, unanishtua ujue; usije kuwa
 
Soma kiswahl hzo n lugha za misimu huibuka na kupotea.
 
mbona imekaa kiheshma sana kuliko MTU akuite,,

"OYAA"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom