Recent content by Boiker

  1. Boiker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi: Wanaume au wanawake wajanja huoa au kuolewa na wenza wabovu sana

    Vice versa is true pia kiongozi
  2. Boiker

    JamiiForums Tanzania Kwenda ruvu kuripoti

    Kuwa makini sanaa na pori juzi hapa MT 691……Private……kapambana na chatu mwanzo mwisho mpka chatu akaomba taulo….. Karibu danger coy ya demo
  3. Boiker

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata Admission letter!

    Mbona ni rahisi sana,unatumia reg number ambayo ipo kwenye admission letter
  4. Boiker

    JamiiForums Tanzania Wanaotaka kuanza kusoma CPA karibuni tushauriane

    Naomba kuuliza,kwani huwez fanya mitihan ya bodi bila kusoma kwenye hyo centre (CFC)… Mfano mimi nikilipia tu mitihan ya bodi si naruhusiwa kufanya ama kigezo mpka uwe umesoma kwa hyo review classes centre
  5. Boiker

    JamiiForums Tanzania Nikisomea Laboratory Technology katika chuo cha Arusha Technical College nasomea laboratory ya binadamu au ya vifaa?

    ATC hawatoi Medical laboratory science ambayo ni moja ya allied science courses so ukisoma laboratory technology ya ATC huwez fanya kazi kwenye hospital labs,zaid utafanya sehem kama viwandan nk
  6. Boiker

    JamiiForums Tanzania Nimevamiwa na nyoka aisee ni hatari

    Sema inabidi ukutane nae siku moja uone show Sitasahau 2015 nipo kwa bibi likizo…..sasa usiku bibi kaniagiza ndani kuchukua unga kulkua na mwanga hafifu wa mshumaa ile kuingia ndani tu hivi mjomba huyu hapa anazama kwenye gunia za mahindi daah….
  7. Boiker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadau ingekuwa ni wewe ungemfanyaje huyu mwanamke?

    Kwani shule hazijafunguliwa bado…..
  8. Boiker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume wenzangu hii imekaje?

    Kataa ndoa…
  9. Boiker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mhudumu wa Songea

    Huu mwaka utakua mrefu sana
  10. Boiker

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Alteza

    Wenye altezza wanahisi kila mtu anakimbizana nao barabarani………ni mbio tu wao[emoji23][emoji23][emoji23]
  11. Boiker

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke akishajua unampenda hakuna rangi utaacha kuiona

    Ngoja waje tuwasikie wanasemaje
  12. Boiker

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Inspector
  13. Boiker

    JamiiForums Tanzania Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wale wa TMDA jamani tupeane lonja au kama kuna mtu ako na Abc’s
  14. Boiker

    JamiiForums Tanzania Mpangaji anahesabika ni mvamizi mara tu kodi yake inapoisha

    Naomba kueleweshwa hapo hyo notisi inamuhusu mpangaji ambaye kodi yake imeisha ama vip
  15. Boiker

    JamiiForums Tanzania Huduma ya kubadili majina naomba ifutwe Tanzania

    Swali zuri saaana… Nipo kwenye mchakato wa kubadili majina ili yafanane na ya kwenye NIDA… Pamoja na kupata deed poll sina hakika kama watabadlisha majina ya kwenye nyaraka zang kama Passport,Driving Licence Ngoja tusubiri mamlaka
Back
Top Bottom