Tayari kimeshajibu ukoHabaribza wakati huu ndugu zangu.
Hawa malaika wetu wanaotupa raha za hapa na pale kiukweli ni watata sana yani akisha jua tuu unampenda hakuna rangi utaacha kuoa kiukweli wanawake muwe na huruma kwa kweli..mimi na ishia hapo
KabisaSio kwa wanawake tu,hii ipo kwa jinsia zote mkuu.
Anyway, yamekusibu yapi?
Kila kitu na kiasi ukizidisha umeumiaHabaribza wakati huu ndugu zangu.
Hawa malaika wetu wanaotupa raha za hapa na pale kiukweli ni watata sana yani akisha jua tuu unampenda hakuna rangi utaacha kuoa kiukweli wanawake muwe na huruma kwa kweli..mimi na ishia hapo
Sema mtoa mada kwavile yeye ni mwanaume, na anajiongelea personally, so yawezekana akawa sahihi.Kabisa
[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]Pole utakuwa ushapigwa na kitu kizito. Hata wanaume wako hivyo, mapenzi sijui yakoje. Ukipendwa unajikuta tu unaanza kuringa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo ni mengi sana yaanSema mtoa mada kwavile yeye ni mwanaume, na anajiongelea personally, so yawezekana akawa sahihi.
Ila kwa tuliozoea kujichanganya kitaa, tunasikia na kuona mengi, hata yasiyotuhusu
ushapigwaaaHabari za wakati huu ndugu zangu,
Hawa malaika wetu wanaotupa raha za hapa na pale kiukweli ni watata sana yani akisha jua tuu unampenda hakuna rangi utaacha kuona, kiukweli wanawake muwe na huruma kwa kweli.
Mimi naishia hapo.
NakaziaSio kwa wanawake tu,hii ipo kwa jinsia zote mkuu.
Anyway, yamekusibu yapi?
SAsa gari litaendaje bila mafuta.Ukichunguza sio kumuonyesha kwako unampenda bali ni kukosa kwako pesa ndio kunakuonyesha kila rangi. Siku hizi wapo kimaslahi zaidi.
Ukiwa na pesa utapendwa mpaka uchoke.
Kosa mpunga sasa na vimeseji vyako vya 'umeamkaje baby' kama hujajibiwa na 👍 tena saa mbili ya usiku baada ya kuituma asubuhi, na kipindi chote unamuona online.
So in short kinachokutesa ni ukapuku na si kupenda. Mapenzi na umaskini ni kama maji na mafuta. Haviendani.
Relax kijanaHabari za wakati huu ndugu zangu,
Hawa malaika wetu wanaotupa raha za hapa na pale kiukweli ni watata sana yani akisha jua tuu unampenda hakuna rangi utaacha kuona, kiukweli wanawake muwe na huruma kwa kweli.
Mimi naishia hapo.
Alaf yakikuendea kombo, utaona Dunia nzima wanakuchukia 😅Mambo ni mengi sana yaan