Recent content by BOGABICHI

  1. B

    JamiiForums Tanzania Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

    kumbeee
  2. B

    JamiiForums Tanzania Abunwasi na Nchi ya Kusadikika

    nisaidieni njia ya Ku download hivi vitabu jamani natamani sana ila nashindwa
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Wasabato hawaruhusu wanawake kuwa wachungaji wakati mwanzilishi Hellen White mwanamke?

    Kwanza tambua sabato haikuanziswa Bi hellen G Sabato ilikuwako toka Enzi za kina Mussa
  4. B

    JamiiForums Tanzania ‪Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai Polisi hawana utaalamu wa kulazimisha kuingilia mawasiliano kimtandao‬

    Mpelelezi ananifurahisha sana, majibu yake. kwa muonekano tu wa mahojiano haya ina maana kuwa ukipata habali ya hatali ufunge mdomo wako kwa maana wewe ndio utakae wekwa pabaya na sio yule unae mlipoti Mtu kasomea taaluma yake lakini maamuzi nikama ya asiye soma. Wakili kamuuliza, "Je...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Hongera sana mkuu
  6. B

    JamiiForums Tanzania Oparesheni za Kijasusi zilizofanikiwa zaidi katika Historia

    Barikiwa sana mkuu
  7. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini nifanye kwa mpenzi wangu?

    Au mgumu kuchekecha mpungaa.?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mbinguni/peponi pamegunduliwa

    kwa speed ya mwanga miaka m abilioni ila kwa speed ya chombo chao mapema sana daaa..!!!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

    Nahisi kama umepotea njia....!!
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nataka kuwa na roho ya ukatili

    HAKIKA Kama unataka kuwa katili na roho mbaya fanya kama alivyo kwambia mdau hapo juu na ninge kushauli uanze na kujikata kidole ili utamu na furaha utakayo ipata ndo hiyo hiyo ndo waipatayo hao unaotaka kuwaumiza.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya shirika la Kijasusi la kanisa Katoliki duniani na Tanzania

    Vururu vuuruuruu..
  12. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Pale unapokuta mkeo katuma picha zake za uchi kwa mwanaume mwingine

    ushahid wapicha tafadhal
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mwanzo wa kujifunza lugha

    Hatua hii najua kila mtu aliipitia . Naomba uandike maneno ya watoto unayo yakumbuka naanza na haya ya mwanangu .. mboda (mboga) ..mma (maji) ..kitombe (kikombe) daa tumetoka mbali
  14. B

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Hiyooooooo miaka ya nyuma we hukuwepo
Back
Top Bottom