Mkuu sijakusoma!I never about wanawake wazuri
Asante sana mkuu kwa kunitia moyoJitahidi kumtafuta kwa namna yeyote ile
Unaweza kumtafuta nyumbani kwao ama mahali anapoishi au kuktafuta kupitia ndugu na watu wake wa karibu,
Mtafute ili ujue ni nini kilichomfanya awe kimya kwa muda mrefu hata kutojibu meseji zako,
Ila kwa mtazamo wangu,
Nahisi atakuwa amepata mwanaume mwingine,
Maana kutopokea simu na kutojibu meseji ni njia moja wapo kuwa mpenzi wako anakuacha taratibu.
Na baadae utakuja kushtuka kiari ana mtu mwingine au ameshaolewa kiari.
Cha kufanya mtafute ili ujue ni tatizo gani? Analo au ndio makusudi anakufanyia.
Ukigundua chanzo chake
Usiwe na mawazo najua ulimpenda na mmepanga mengi kuhusu maisha,
Cha kufanya jiweke busy kwenye masomo yako hapo chuoni, Fanya mambo yako mengine ya muhimu.
Pia uwe mtu wa ibada,
Kusali kila Mara kufanya maombi. Muombee na mpenzi wako.
Usiumie sana kwa sababu kila kitu kila tukio kila jaribu ni Mapito na kusudi la mungu.
Utampa mpenzi ambaye atakuwa bora kwako.
Sema nae tu vizuri.

Akipiga anasubirishwa aseme naye kwa njia gani ya mawasiliano![]()
Huna akiliMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina mahusiano na mpenzi wangu tulioweka ahadi ya kuja kuoana, ila sasa mwezangu mpaka sasa hivi nikimpigia simu mara nyingi ananiambia nisubiri kidogo nitampigia. Ukimtumia txt hajibu
Nashindwa kuchukua maamuzi yangu sababu mimi bado nipo chuo mwaka wa pili huu.
Naomba msaada wenu wana JF.
kuna boss anakula tayari tafuta hela ili wao wawe wanakupigia na usiwe unapokea simu zaoMkuu sijajua kama ameshabadili uelekeo maana, kupokea simu ni tatizo kwake
Mjinga san wewe soma acha kuendekeza ngonoMimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24. Nina mahusiano na mpenzi wangu tulioweka ahadi ya kuja kuoana, ila sasa mwezangu mpaka sasa hivi nikimpigia simu mara nyingi ananiambia nisubiri kidogo nitampigia. Ukimtumia txt hajibu
Nashindwa kuchukua maamuzi yangu sababu mimi bado nipo chuo mwaka wa pili huu.
Naomba msaada wenu wana JF.