Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

Kinachowachelewesha UKAWA hiki hapa

Ukitaka kujua chadema ni chama cha mfano na cha kuigwa suburi uone siku wanamtangaza mgombea wao utajionea mwenyewe,itakuwa ni historia na haijawai kutokea nchini tanzania

Naona Lumumba wanakutumia vibaya! kuvuruga na kupotosha ukweli wa mambo....nenda kachukue ujira wako sasa
 
Ukitaka kujua chadema ni chama cha mfano na cha kuigwa suburi uone siku wanamtangaza mgombea wao utajionea mwenyewe,itakuwa ni historia na haijawai kutokea nchini tanzania

UKAWA ✔✔✔✔
CCM Mimi mmh! ❌❌❌❌
 
Watamtangaza soon amino nisemalo mgombea ni slaa mwenza musa haji wanamgojea seif arudi Italian ili watakapo tangaza awepo ili kuweka mapambo huko ni ukweli usofichika amino nawaambia
 
????? Mbunu gani za kisiasa? Tukubali kwamba ukawa tumedoroda tena sana. CUF tangia mwanzo hawakuwa wakweli. Lipumba ndio katia ngumu hakubali kuachia. Kwa jili kwa nini tinga tinga lisituzoe? Kabla ya siku 5 za ukawa kutangaza ccm watakuwa wamefunika nchi nzima na magufuli wao. Tujiandae kisaikolojia.
 
Hii game inayochezwa haitoi matumaini, watu wanachonga mtaani wewe kimya eti unafanya timing, ukija kustuka watu washasepa, hapa hakutafutwi wanachama watiifu kinachotakiwa uwingi wa kura tu hata za machizi, sasa we unaacha watu walishwe maneno siku ukija kutangaza watu walishakimbia kitambo
 
Ni mwanachama mtiifu tu ndo anaweza kuamini kinachofanywa na ukawa ni mbinu ila kwa wale waliohamasika na ule muungsno hakuna tumaini lolote hapa zaid ya kuishi kwa matumaini tu.
 
Al Qaeda washachukua mlungula hapo...shtukeni nyie...behewa la nyuma likikamata moto unapaswa kulikata
 
Dr-Slaa.jpg
October 25 mzee itakuwa ndo end of ccm empire
 
Ni mwanachama mtiifu tu ndo anaweza kuamini kinachofanywa na ukawa ni mbinu ila kwa wale waliohamasika na ule muungsno hakuna tumaini lolote hapa zaid ya kuishi kwa matumaini tu.

Upo sahihi kabisa kuna jambo sio zuri nyuma ya pazia. Bora limejitokeza mapema. Je mngekuwa mmeshinda halafu mtofautiane si ingekuwa burundi au Congo? Kumbe ma CV yenu ya uprofesa mnawekka humu bora wasiosoma wana busara.
 
mwinukai

Michuzi blog imemkariri Mbatia akisema kuwa mgombea wao watamtaja ndani ya siku saba. Nadhani huo ni mkakati mzuri kumngoja Makufuli atulie na mcheche uishe, pia kuwapa nafasi watanzania kuzinduka, kutafakari na kujiuliza kuwa wanataka nini kwenye huu uchaguzi. Pia itawapa nafasi kwa majeruhi wa CCM kutafakari kama wajikate au wabaki. Nadhani ni mkakati mzuri
 
Last edited by a moderator:
mwinukai

Swali, ukawa wana vikao vingapi?Cuf wana vikao vyao na wengine wana vikao vyao? Mbona hamueleweki?
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama wanaiga CCM.....Mara futari mara nini sijui.....hayo majimbo 26 wangewapa CUF, NLD na NCCR mambo yaishe

Mkuu nakubaliana na wewe sababu Chadema wao wana majimbo mengi hayo mengine wangewaachia wenzao wamalize kazi basi.
 
Niliwahi kusema hapa kuwa UKAWA haitadumu kwa sababu CUF hawawezi kukubali na hawatakubali hata siku na tatizo kubwa lipo kwa wafuasi. Me niwashauri yale majimbo ambayo hawajaelewana wakubali kuweka wagombea wa vyama vyote. Kwenye URAIS kila chama kiweke mgombea wake kukubali tu hilo na kuomba msamaha kwa wananchi na kuzunguka nchi nzima kwa haraka kuweka harakati za kupata wabunge wengi sana. Hii ndio strategy iliyo na hapo ndo CCM wanasema GOLI LA MKONO.

WANACHOTAKIWA KUFANYA UPINZANI MWAKA 2020 WAUNDE CHAMA KIMOJA NA KUJA NA SERA MOJA NA MKAKATI MMOJA KWA SASA NI NGUMU CUF KUKUBALI KIRAHISI NA HILI NI PIGO KWA UKAWA.
 
nawatakia kila la heri UKAWA kwa uteuzi mzuri wa mgombea urais kwan nyie ndye wat pkee kwa kuivusha Tanzania ya leo na siyo kama watu wengine wanavyoanza kujipa matumaini kwenye giza ilyotanda.
 
makufuli Ni mwizi mkubwa na mwizi WA wake za watu, kamuiba dada kabula (mke WA mtu) na kummilikisha kerbsy hotel bamaga pamoja na viwanja vitatu vya serikali kwa kubinya fedha za mradi WA barabara mpaka kupelekea kujengwa nyembamba tena chini ya kiwango. Upo hapo???
dawa alizofata Nigeria zaisha nguvu soon!

Duuuh! Ya kweli hayo mkuu?
 
Duuuh! Ya kweli hayo mkuu?

upo dunia gani mkuu?? Khali halisi ndiyo hiyo, asikuambie kitu makufuli Ni mbaya kuliko shetani na Ni mnafki Sana, anajifanya mzuri wakati skendo zake tunazo na Ni mbaya kuliko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom