‪Kesi dhidi ya JamiiForums: Shahidi adai Polisi hawana utaalamu wa kulazimisha kuingilia mawasiliano kimtandao‬

How I wish I had wakili like these on my brother's case.

It has been two years mdogo wangu yupo mahabusu KEKO, with no crime committed , and the court couldn't decide if it's time to let him go so they keep on postponing the case with unreasonable reasons , mara sijui Hakimu hayupo, mara hukumu haijapangwa, mdogo wangu anaozea tu jela
 
Jeshi la Polisi liimarishe kitengo cha Cybercrime. Kumpeleka askari ambaye hana ujuzi wa masuala ya ICT mahakamani kisa tu ni Assistant Inspector ni kuidhalilisha Jamhuri. Katika dunia ya leo, jeshi la polisi lisilo na 'Ethical Hacking Department' linakuwwa sawa na kipofu anayetembea mtaa wa Congo Kariakoo.

Tafuteni vijana waliomaliza IT, wapelekeni nje wakanolewe ktk masuala ya Hacking. Na hapo muwe makini maana zinapokuja fursa za kwenda nje kusoma, askari wenye vyeo vikubwa waliosoma middle school ndo hujipa nafasi hiyo.

Hacking ni ya watu under 25years, askari wazee wakae pembeni. Kama hacking ni ngumu, basi jaribuni hata Social Engineering, kuna wadada wazuri tu huko jeshi la polisi wanaoweza kuwaibukia PM vijana wa JF. Na uzuri kibatala ameshawapa hint hapo kwamba kama kuna jambo nyeti na la hatari linataka kutokea utasubiri upewe majina na Melo?
 
Jeshi la Polisi liimarishe kitengo cha Cybercrime. Kumpeleka askari ambaye hana ujuzi wa masuala ya ICT mahakamani kisa tu ni Assistant Inspector ni kuidhalilisha Jamhuri. Katika dunia ya leo, jeshi la polisi lisilo na 'Ethical Hacking Department' linakuwwa sawa na kipofu anayetembea mtaa wa Congo Kariakoo.

Tafuteni vijana waliomaliza IT, wapelekeni nje wakanolewe ktk masuala ya Hacking. Na hapo muwe makini maana zinapokuja fursa za kwenda nje kusoma, askari wenye vyeo vikubwa waliosoma middle school ndo hujipa nafasi hiyo. Hacking ni ya watu under 25years, askari wazee wakae pembeni. Kama hacking ni ngumu, basi jaribuni hata Social Engineering, kuna wadada wazuri tu huko jeshi la polisi wanaoweza kuwaibukia PM vijana wa JF. Na uzuri kibatala ameshawapa hint hapo kwamba kama kuna jambo nyeti na la hatari linataka kutokea utasubiri upewe majina na Melo?

Uko sahihi....

Lakini cha kuongeza ni kuwa, naona hata kesi yeye imefunguliwa kimakosa...

Waliopaswa kufungua kesi ama ingalau kuwa mashahidi dhidi ya JF ni hao wabaodai wamekashifiwa ....

Ama basi, polisi wangepeleleza tuhuma za ukwepaji kodi kwanza dhidi ya kampuni zilizotajwa kupitia mtandao wa JF na wakijiridhisha kuwa siyo za kweli Basi, wanafungua kesi kwa uzushi dhidi....

Mbaya zaidi ni kuwa, jeshi la polisi hata halijui hata taratibu za kuomba taarifa za siri za mteja wa kampuni flani kwamba ni lazima wapate kibali cha mahakama in most circumstances....!!

Jeshi la polisi wanafanya kazi unprofessional na kimazoea tu.....!!
 
ha ha ha ha ha nmecheka sana baada kuona mwanasheria kataja neno amrish puuri mahakama ya kitanzania
 
Jamii forum wakishinda kesi na wafungue madai ya kudhalilishwa kampuni yao Mungu saidia Billions nyinge hizo serikali itawalipa


Swissme
 
Sawa Mkuu, nitaenda milembe, pia nitapitia na file la jamaa yenu.
Sisi Lissu siyo jamaa yetu, ni jamaa yenu ninyi. Ukitaka muongezee na Mzee Sumaye maana naye naona siku hzi mambo yake siyo haba, kadata kwa sababu ya vishamba vya dhuruma
 
Mpelelezi ananifurahisha sana, majibu yake.

kwa muonekano tu wa mahojiano haya ina maana kuwa ukipata habali ya hatali ufunge mdomo wako kwa maana wewe ndio utakae wekwa pabaya na sio yule unae mlipoti Mtu kasomea taaluma yake lakini maamuzi nikama ya asiye soma.

Wakili kamuuliza, "Je ulikwenda kwenye ofisi ya TRA kuuliza'' akajibu ''HAPANA''
duuuuu naipenda nchi yangu
 
SHAHIDI: Hatukutaka ku-verify, tulitaka tuwahoji kama zile taarifa ni za kweli au sio za kweli ili tu-take action. Lengo la kwenda JamiiForums ni kutaja kuwaapata wale walioleta taarifa. Hatuwezi kuwapata bila kuwauliza wahusika wa JamiiForums.

Mtobesya: Taarifa zimetolewa kwamba hawa watu wamekwepa kodi, wenye ku-verfy ni TRA au hawa walioandika?

SHAHIDI: Sisi tulitaka kuwahoji hawa walioandika

Mtobesya: Hivi, mlikuwa mnachunguza nini?

SHAHIDI: Uchunguzi unaweza kubaini mambo mengi sana. Malalamiko toka CUSNA yalikuwa ni kuwa kampuni imechafuliwa sio kukwepa kodi

Mtobesya: Je, mlichokuwa mnachunguza ni hayo makampuni ya CUSNA Investment na Ocean Link kuchafuliwa au kukwepa kodi?

SHAHIDI: Tulikuwa tunachunguza suala la kuchafuliwa.

Mtobesya: Je, ulikwenda TRA kuuliza kama walikwepa kodi?

SHAHIDI: Hapana


Mtobesya: Unakumbuka TPA iliwahi kutoa orodha ya Makampuni yaliyodaiwa kukwepa kodi bandarini Dar es Salaam?

SHAHIDI: Ndio, nakumbuka

Nadhani Nchi ya Viwanda tutasubiri, Kama mpaka sasa Kesi hii si mmoja ya Kesi ambazo DPP huzifuta!
Maana mwendo kasi wa vita ya rushwa na ukwepaji Kodi jinsi ulivyo sasa na bado Kesi hii inaendelea naona kama twatiana aibu na kuvuana nguo mchana kweupe!. Lengo hapa ni kuzima JF na kuzima Vyombo vya habari kama vingine vilivyofutwa.
 
Khaaaa, hadi rahaaa....kwa kweli maswali ya Kibatala, Tundu Lissu na Mtobesya yananishawishi nikasome walau Bachelor ya sheria. Kufahamu sheria ni jambo jema sana ktk nchi hii....huwezi kuonewa wala kubabaishwa na poliCCM wala vibaraka wao.
 
Back
Top Bottom