Recent content by boga la kiangazi

  1. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mcheza filamu za ngono maarufu nchini Urusi, Kristina Lisina Afariki Dunia

    Dah video zake nzuri sana
  2. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kazi ya mzungu

    Shukran
  3. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Leo Leo ya Nandy na Koffie Olomide tumepigwa

    Wanaume tumebaki wachache sana
  4. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane tuliowapokea mashujaa wa vita vya Kagera

    Kuna mzee alipigana vita hiyo kwasasa akili haipo sawa na hali ya kiuchumi ni mbaya sana amebaki jina tu kuwa alimpiga Iddi
  5. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Deo Kisandu aingia studio kutoa album, Rayvanny, Harmonize na Darasa matumbo joto

    Naomba kuwasilisha maombi ya ubody guard kwako msanii mkubwa don kama don. Ninao uzoefu wa miaka 10 kazini
  6. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Msukuma: Mabilioni yanayowekezwa kwenye miradi isiyozalishwa yawekezwe kwa watu wa hali ya chini

    Soko jipya la mlandege iringa ni jipu
  7. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kazi ya mzungu

    Swadakta kiongozi
  8. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Kazi ya mzungu

    Waitin....
  9. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Anayejua dalili za limbwata, ashushe elimu

    Mkuu ni mapenzi tu yamekutawala wala hakuna limbwata hapo. Lingekuepo wananzengo ndo wangeuleta huu uzi kwa niaba yako maana we ungekua huelewi chochote na hata ungeambiwa usingekubali
  10. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Wadogo zangu, kabla TV hazijaja enzi hizo mgeni alikuwa anapewa album atazame picha za zamani. Yaani umpe Mtanzania album asichomoe picha hata moja?

    Wale wa kijijini tulikua tunasubiri hadi mpiga picha ajaze mkanda ndo aende mjini kusafisha. Usiombe iwe sio msimu wa sikukuu maana wateja wachache afu baada ya mwezi mzima anakuja picha imeungua😆😆. Those were the days
  11. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Maombi ya kujivua uanachama CHAPUTA

    Ungeomba ushauri kwanza mkuu kabla hujafanya maamuzi. hujiulizi kwann akina lowasa walirudi kuunga mkono juhudi za mkuu? Enewei unakaribishwa tena
  12. boga la kiangazi

    JamiiForums Tanzania Simulizi : Safari Ndefu Kuelekea Kaburini

    Asante
Back
Top Bottom