Hii nchi ya ajabu sana, watu wanang'ang'ania Coco beach, why?? Utakuta watu wanatoka Kigamboni, Mbagala, Mbezi Beach....., na huko wanapotoka kuna beach nzuri na safi tu, kwa nini wasiende huko? Hawa ndio wanasababisha msongamano, wizi, ukahaba mjini