Magufuli atawamudu Home Shopping Centre?

HNIC

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
1,898
2,195
Ndio maana hawatochunguzwa, hawatoshtakiwa, na wakipatikana na hatua hawatofilisiwa mali zao na za jamaa zao, hawatofungwa kwa uhujumu uchumi, hawatofanywa lolote lile kwa sababu Magufuli hatotaka kwenda kinyume na mtu aliyemtangaza nchi nzima?

Lakini habari za ndani kabisa ni kuwa sasa hivi hawa waarabu wanajiandaa kuhamishia makao yao makuuu Rwanda au Msumbiji kwani hawana uhakika na insurance policy yao (Msoga?)

Pia kuna madai kuwa wanazo diplomatic passports wao na wanafamilia zao hivyo wa kitakachoendelea kaondoka wanapita tuuu pale VIP bila kubugudhiwa au kaulizia kitu.

Yule wa Guangzhou sasa hivi yuko Kigali. Lakini kiusalama ni kuwa hawa jamaaa sote tunajua ni bunch of thugs masquerading as businessmen na access waliyokuwa nayo utajiuliza clearance walikuwa na nani wakawa karibu kiasi kile na Ikulu na mawaziri, maofisa wakuu wa idara nyeti za serikali na wabunge.

Hawa jamaa ni wa Yemen na allegiance yao iko Yemen na tusisahau kuwa Yemen ni hotbed ya Al Qaeda in Arabian peninsula na ma terrorists wengine. Sasa cha kijiuliza kwa unprecedented access waliyokuwa nayo tuna u hakika gani kama ulinzi na taarifa za siri za serikali hazijabadilika (compromised)?

Tukiondoa suala la terrorism, kuna suala la espionage na najiuliza Salaah wa HSC kule China alikuwa na access ya kutisha. Je, kuna possibility alishawahi kunyanyua data toka kwenye laptop ya mawaziri au viongozi wetu bila wao kujua? M

ind you alikuwa anawaandalia safari, ana book hoteli zao, anaenda kuwapokea Hong Kong, anawapa pesa, anawahudumia kuwafanyia shopping, anatuma makontena yao bila kulipa ushuru, kisha makontena yao yanatolewa bureee hapo bandarini na sie tutaona sawa tuuu! Je, tuna uhakika gani kama our national security haijawa compromised na hawa jamaa??

Hii ndio Tanzania, mwarabu anatoka kwao Hadharamawt (hapa kuna Umauti) Yemen, anakuja kutafuta rizki Tanzania kisha anatesa watanzania, anahusika na kashfa za ufisadi bandarini na kukodisha serikali zaidi ya Trilioni 2 kwa kipindi cha miaka 10, kisha anazawadiwa nafasi ya Ubalozi China, kisha wanawaweka wakuu wa ulinzi na usalama hususan polisi kwenye mikono yao, kisha wanawanunua mawaziri na wabunge, kisha wanawaendesha wakuu wa idara nyeti za serikali na on top wanaleta kiburi cha kututukana, kutunyanyasa, kututesa ndani ya nchi yetu!?

Binafsi sitegemei kama Magufuli atawagusa hawa washihiri. Mbaya zaidi najiuliza, hivi CCM ilishindwa vipi kupata mfadhili mbadala ya hawa wabaguzi, mafisadi, wasioionea huruma nchi hiii?

 
Sasa wanaomba diplomatic passports za Yemen ili wapelekwe immunity. Walivyokua wajinga wa nadhani kuwa na passport pekee unapata kinga. Kumbe siyo.
 
Mi nilidhani ile tenda ya nguo na mabango ni ya Miraj Kikwete, dah kumbe hawa hawa jamaa!!! Miaka kumi ya mateso imeisha, Mungu mkubwa
 
Wangeendelea na biashara basi kama walifadhili kampeni kwa kiasi kikubwa hivyo. Unadhani kwanini wameacha biashara yao tena kwa hiari?
 
Nchi hii haina mwenyewe! Wameitafuna Haswaa!!! Na wamejitegea asilimia zao kibao kwenye kila mradi unaojua wewe umesainiwa ujue kuna chao kwa miaka 20 ijayo!! Huyu mwendokasi hawezi kuvunja ile mikataba ya kimataifa!! IPTL tu anaushindwa
 
Back
Top Bottom