Recent content by Boei

  1. B

    Wasafi FM wana utoto na ujinga mwingi studio

    All in all hata jamii inachangia wao kuwa hivyo...kwa maana ya watu walio wengi kupenda mambo ya kipuuzi, kiutopolo n.k... Kwa hiyo wanachofanya ni ku reflect kilichopo huku ground [emoji847][emoji847][emoji4]..ila pia professionalism haizingatiwi Sana kwenye hizi so called radio stations...
  2. B

    Hivi ambao si Wachagga huwa wanajisikiaje wakiona Wachagga wakihangaika kwenda makwao Desemba?

    NIMEPITIA COMMENTS ZA WADAU HAPA NIKAITIMISHA WENGI NI CHUKI ZISIZO NA MAANA NA HAZISAIDII dhidi ya utaratibu wa huku uchagani....huo utamaduni huku uchagani...ulikuwepo since nyerere regime na utaendelea ku exist in many years to come... Kusema wachaga wanaenda kufanya kafara sijuhi kunywa...
  3. B

    Wivu wa Mumewe umemponza

    Ndio jf ya siku hizi.... Karibia kila mada mtu hujisifu kuhusu kutembea na mke/wake za watu...
  4. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hivi mpaka sasa kwa tathmini nani aliyeko hapo chini...tunaweza kusema ni title contender.....[emoji23][emoji23] Man u wameshinda jana wanajifarijj wanakimbiza mwizi kimya kimya....
  5. B

    Once-in-a-lifetime experience: Sayari ya Mshtarii na Zohali zinatarajiwa kuonekana kama umbo moja usiku wa leo

    Leo asubuhi zimeonekana, hivyo jioni ya leo kama jua likizama zitaonekana tena. Kiukweli zinang'aa sana
  6. B

    Start to change now if you want be who you want to be

    Mimi ni graduate... product ya mwaka huu.. kila kazi inayokuja mbele yangu naipiga.kibarua cha kulima,iwe kufyeka,saidia fundi napiga... ilimradi tu ni kazi halali isiotweza na kuidhalilisha utu wangu.... nilipokuwa chuo nilishajiandaa kisaikolojia sana.hivyo nimekuja ground sina...
  7. B

    Start to change now if you want be who you want to be

    Ndio hivyo muda hausimami ndugu, ni muda tu wa kutafuta namna kivyovyote vile
  8. B

    Start to change now if you want be who you want to be

    All in all, mfumo wa elimu yetu usiobadilika hakika tutaendelea kufarijiana tu humu. Huu ni ukweli mchungu ambao wenye mamlaka hawataki kuusikiliza.
  9. B

    Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

    Mbona nyuzi nyingi sana zinawaatack hawa viumbe wa Mungu
  10. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Najua westbrom tutajipigia... Ila huyu yuko nyuma yetu naye ni wa kumuombea mabaya....
  11. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Ila kusema ukweli mane alimind alipofanyiwa sub...sijui kama mmeng'amua hili jambo. Jamaa katoka ana blame kinoma Sana ....
  12. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Thanks buddy ... kwakweli kuwa at the top huu msimu wa krismasi ni jambo la heri....all in all mfumo wa klopp jinsi anavyo wafanyia diversification wachezaji hakika nimeona umuhimu wake.. Mungu ibariki liverpool .. Mungu tubariki wana liverpool wote
  13. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Huwa wanaangalia vigezo vingi sana ....mimi na wewe kama shabiki tu tunaweza tusielewe hata kama tukieleweshwa
  14. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Sasa kilichobaki ni ku maintain our position up there .....
  15. B

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Yaani kama unamwona vileee[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
Back
Top Bottom