Kweli kuna wanawake wanaroho mbaya

Mwanamke nirahisi kumuunganishia Moshe yoyote mwanamke mwenzie kuliko sisi wanaume.

MTU mwenye matatizo ya akili was like hawezi tembea mita 100 akiwa uchi mbele ya wanawake wenzie ila mgonjwa was akili wa kiume anaweza toka mwanza hadi dar bila hata mwanamme mmoja kumpa suruari.

Wanaume tungekuwa tunapendana kusingekuwa MTU anatembea kwa miguu safari ya kuhama mkoa ingari karibu kila gari linalopita linaendeshwa na mwanaume mwenzie. Ila cha kushangaza wanawake ndo hawatembei kwa miguu na hawana magari. Ukienda kuomba kazi kwa mwanaume uko na Dada yako na mko na vigezo sawa basis tegemea dadayako ndo atapata kazi ila we subiri sana
Kazi inahusu mambo mengi ofisini, kuna kupika chai ofisini, kufanya usafi wa hapa na pale, mwanaume ataweza?
 
😂😂 Kila mtu na mtazamo wake ndugu hakuna cha u feminine wala femiten! Si kila kitu ni kusimama na kutetea jinsia yako tu tena kwa hoja dhaifu alizoweka mweka mada.. viumbe anaowaita wana roho mbaya ndo kila kiumbe kimepitia mikononi mwao!,muda mwengine jifunzeni kuangalia upande mwengine wa coin.. sio tu kutetea jinsia kitu ambacho hata unapozaliwa huna option unajikuta tu we me au ke!.

Mwanamke si chanzo cha matatizo hapa duniani mchawi twamjua japo mnajitahidi kufikicha.
Ni ngumu sana kumtibu mtu ambaye hajioni mgonjwa....free advice,,Mkuu tafuta dem kama unaye muache huyo tafuta mwingine au ongezea wa pili kwasabab ni either uko single au upo kwenye toxic relationship ambapo huyo dem anauexploit u'Beta male wako ipasavyo
 
🤣🤣🤣 Bata ni bata tu hujui life langu mkuu tulia kunywa maji uvute pumzi ya kutosha uishi..
 
🤣🤣🤣 Bata ni bata tu hujui life langu mkuu tulia kunywa maji uvute pumzi ya kutosha uishi..
Uandishi wako tu unakuonesha wewe ni mtu type gan...Hata uandike insha yenye maneno 200 unaishi Dubai kwenye Mansion una gari gani.....nk.nk.lakin underneath kwenye hizo layers tu za maandishi yako between the lines, your true character will show and that is a SIMP
 
Mkuu umeshinda okay let me agree with you nipo single na sio tu nipo single sijawahi kufanya na mwanamke na siwajui wanawake vizuri hata ninayoyaandika siyajui ninayoyaandika na ukweli kuhusu maisha yangu siujui isipokuwa wewe ndo unajua.

Hapo vipi..?
 
congrats....step one ya recovery toyote ni realization you are sick
 
Una uchungu mkubwa sana na wanawake,mojawapo aliwahi kukufanya nini akakuvuruga hivyo?
 
Mkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?

Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Umeongea point,
Nje ya hapo lazima tukubali hakuna binadamu mkamilifu kila kiumbe kina madhaifu yake sio ku base upande mmoja,utakuwa unakosea.
 
Mkuu aliekuambia uwaseme vibaya mama zetu,dada,shangazi,wake zetu ni nani..?
Hivi ulishaona alshabab wakike hata kumi..?
Wezi je mitaani..?
Wanaobaka watoto je..?

Hawa viumbe mi nawatetea wana huruma,wastahimilivu,they care n.k
Hatuongelei undugu hapa but reality
 
Back
Top Bottom