Recent content by Bob Dere

  1. B

    Naombeni ushauri juu ya suala hili la mafao yangu

    Asante Kwa ushauri, nitafanya hivi
  2. B

    Naombeni ushauri juu ya suala hili la mafao yangu

    Najua wapo wengi hawajalipwa kitambo zaid yangu. Ishu ni je tunaweza fanyeje ili tulipwe?
  3. B

    Naombeni ushauri juu ya suala hili la mafao yangu

    Ni miezi saba sasa tangu nilivowasilisha, fomu ya kudai mafao ya ukosefu wa ajira pale PSSSF. Ila Cha ajabu hadi Sasa Bado hawajinilipa pesa zangu. Nipo stressed sana. Nilitegemea hizo hela niweze fanya biashara, lakjni hadi Leo bila bila, nimekua mtu tegemezi, sina hata mia mfukoni, mpaka...
  4. B

    Naombeni ushauri juu ya suala hili la mafao yangu

    Ni miezi saba sasa tangu nilivowasilisha, fomu ya kudai mafao ya ukosefu wa ajira pale PSSSF. Ila Cha ajabu hadi Sasa Bado hawajinilipa pesa zangu. nipo stressed sana. Nilitegemea hizo hela niweze fanya biashara, lakjni hadi Leo bila bila, nimekua mtu tegemezi, sina hata mia mfukoni, mpaka...
  5. B

    Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Kwamba ku block VPN haiwezekani, au?
  6. B

    Kupata Visa ya kuja Tanzania ni kazi kweli kweli, Uhamiaji na Mambo ya Nje mnamkwamisha Rais

    Yaani huduma Kwa wateja serikalini ni shida sana. Sio uhamiaji tu. Karibu taasisi zote serikalini customer care ni tatizo. Unapiga namba husika mwezi mzima, haipatikani, ikiita basi haipokelewi. Useme Utume email, ndio kabisa, hamna majibu.
  7. B

    Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Kwaiyo picha za ngono ndo zinazuia kina dada kupigwa chabo?
  8. B

    Website za ngono zimefungiwa Tanzania?

    Nasikia website za ngono zimefungiwa Tanzania, kama ni kweli basi na support Kwa asilimia 100 uamuzi huu wa serikali maana siku hizi watoto wanajua kuchezea simu sana. Licha ya hiyo, itasaidia vijana wengi kupunguza addiction ya picha hizi maana wameathirika wengi kisaikolojia. Nashauri...
  9. B

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kauli mbiu ya mabaharia
  10. B

    Nikitoka na mtu mwingine, jogoo hasimami

    Naombeni ushauri wenu wadau, nina miaka kama mitatu nipo kwenye mahusiano na mama mmoja mwenye watoto wawili. Natamani tuachane lakini nashindwa na kanambia lazima nitaishi nae hata kama sitaki. Sasa hivi nikitoka tu na mtu mwingine, jogoo hasimami mpaka yeye. Embu nipatieni ushauri nifanyeje?
  11. B

    Naomba mawazo yako kwenye hili

    Huyo hakua rafiki. Muache aongee mpaka achoke. We endelea na life yako.
  12. B

    Mtaji wa Tsh. Milioni 1 hadi 5: Naweza kufanya Biashara gani Tanzania?

    Ni Biashara gani unaweza fanya Kwa Mtaji wa milioni moja?
  13. B

    Baada ya tafakuri, nachelea kusema Freeman Mbowe amesalitiwa na wenzake

    Tunakoelekea, TZ tutakuja pigwa na ma sanctions
Back
Top Bottom