Kamanda Moshi
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 1,993
- 3,029
Hii ni tiba gani mkuu? Kupandikizwa moyo au? Pole Sana mkuu, mkasa wako umenigusa mnoo.Mkuu sidhani huduma ya moyo ipo chini ya dola 5000 ambazo sijui naweza zipata wapi
Hii ni tiba gani mkuu? Kupandikizwa moyo au? Pole Sana mkuu, mkasa wako umenigusa mnoo.Mkuu sidhani huduma ya moyo ipo chini ya dola 5000 ambazo sijui naweza zipata wapi
Zile injection zinauma sana.hadi ukizifkiria unaumwa zaidi.Mkuu tiba yake ni ipi?? tofauti na hizo injection, maana nachoma ila sisikii nafuu
Mkuu acha tu zile sindano zinauma sana hapa tarehe moja nawaza naenda kuidunga tena. Inachomwa makalio yote. Hua nashinda nimelala nikiichoma maana mwili unanyongonyea miguu inakua haina nguvu.Zile injection zinauma sana.hadi ukizifkiria unaumwa zaidi.
Pole sana mkuu mungu ni mwema simu zote.atakupigania utapona usikate tamaa.jaribu kwenda JK pale wakukague vizuri
Pole sana mkuu, ila Mungu ni mwema kwa watu wake na azidi kukuponya🙏
Ahsanteni wakuu.Nimejikuta nashindwa kucomment chochote zaidi ya kukupa pole na kumwomba Mungu akufanyie wepesi na uponyaji...
.Aisee mkuu😪😪 pole sana na dawa za maumivu vipi hazikusaidii japo kidogo ? Pole sanaAhsanteni wakuu.
Ukiniona huwezi jua kama naumwa kabisa, utaona tu nilivyolegea mwili
Ila kuongea na kutembea nipo kawaida huwezi jua. Ila ndani mwangu ndio hivo kunamomonyoka taratibu, hapa kichwa na kifua kinauma hadi nasikia macho mazito
Uwe una-acknowledge source. Ni uhalifu kuchukua kazi au andiko la mtu na kulitumia bila ya kukiri ulipolipata. Kikwetu tunaita plagiarism, Kiswahili wanaita ubwakuzi na wengine wanaita ugigisiRheumatic fever can cause permanent damage to the heart, including damaged heart valves and heart failure. Treatments can reduce damage from inflammation, lessen pain and other symptoms, and prevent the recurrence of rheumatic fever
Mpaka sasa sijui kosa langu lipi naona wanishutumu tuUwe una-acknowledge source. Ni uhalifu kuchukua kazi au andiko la mtu na kulitumia bila ya kukiri ulipolipata. Kikwetu tunaita plagiarism, Kiswahili wanaita ubwakuzi na wengine wanaita ugigisi
![]()
Rheumatic fever - Symptoms and causes
www.mayoclinic.org
Najitahidi ila kila nikikumbuka uhalisia wa hali nanyongonyea kabisa. Maisha yenyewe yapo wapi ya kuinjoi basiPole sana ndugu yangu nimeskitika sana kwa kinachoendelea kwenye maisha yako.
From now on start to live your happy life,live the life you dreamed of. We love you bro ugua pole.
Mkuu imani kwa Mungu imeshaanza kuyeyuka kabisa ajili ya matatizo kibao aliyonipatiaPole mkuu.
Amini hautakufa bali utaishi.
Mungu ni mwaminifu na anaweza kufanya mambo yote hata ambayo yameshindikana kwa wanadamu.
Endelea kuomba,usiogope
Ondoa hofu kabisa.
Nakuombea MUNGU akufanyie wepesi,utimize malengo yako,
Mungu akutunze sana uje uone watoto na wajukuu zako,hata vitukuu.
Usiogope mkuu, usiogope.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kama una imani ya MUNGU hata chembe tu amini nakuambia utapona kabisa...Mkuu imani kwa Mungu imeshaanza kuyeyuka kabisa ajili ya matatizo kibao aliyonipatia
No I can't do this. Nilikua na mwanamke mmoja ninayempenda kwa dhati ndio mwanamke pekee nilietamani kuzaa nae, Nilitamani kama nikufe nife nikiwa nampenda yeye tu ila aliniacha. Sina haja ya kupenda mwingine tena maana hali yangu sio nzuri sana. Kama hatakua mwanamke huyo siwezi zaa labda itokee miujiza nipone au niweke moyo bandia