Recent content by bmusic

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ukitaka ku-enjoy maisha ya ndoa oa single mother

    Ni single mother tena...touuuuch
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tozo zisizoeleweka bandarini zapelekea maduka kufungwa Kariakoo, fremu nyingi zabaki wazi

    Mkuu acha tu, huku mikoani hali haieleweki kabisa! Maana kama sisi hatuuzi hata huko Kariakoo hali itakuwa mbaya tu, sijui hatma ya haya yote ni nini? Wengine angalau tuliamua tujiajiri baada ya mambo ya ajira kuwa magumu, matokeo yake hata huku tuliko wanatukimbiza sijui twende wapi!
  3. B

    JamiiForums Tanzania Dully Sykes: wasanii wa Bongo Fleva wamekuwa kama Kaa

    Ungemwambia Jay Moe akusaidie kushare... Hivi Dully Sykes ni mtu wa kulialia eti wasanii hawajampost kweli?? Kama kashindwa kutengeneza fan base asimlaumu mtu, ni uzembe wake mwenyewe!!
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Anaweza akanasa yeye mkuu
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Kwamba atatumia kanuni ya PMU(Pata Mimba Uolewe)?
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Aisee ili iweje, ngumu sana hiyo!
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Namaanisha bila makubaliano yeyote...hakuna tuliloliongea kuhusu mahusiano yetu, alitegesha nyapu nikapiga basi hakuna story za ziada!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kuna tofauti gani kati ya kukosea kuoa/kuolewa na changamoto za kawaida katika ndoa?

    Kuna mdada aliolewa last year mwishoni, hawakukaa hata wiki wakaachana! Nafikiri situation kama hii ni tafsiri halisi ya kukosea, changamoto huwa zinavumilika siku zote!! Ila tatizo ni kwamba ili ujue kwamba umepatia au umekosea lazima uoe au uolewe kwanza!!
  9. B

    JamiiForums Tanzania Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Ni kweli mkuu, nimewaza hilo pia !
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Kweli mkuu sina hisia zozote..ila kumuacha imekuwa ngumu maana kipindi hicho alibanaga hata sikumbandua..
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Hakuna mapenzi..yalishaenda kitambo sana!
  12. B

    JamiiForums Tanzania Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

    Ni miaka kama 7 imepita toka huyu mdada aniache pasipo sababu ya kueleweka, nilikuta tu mtu kaanza kunichunia..miezi ikapita na hata nilipokuja kuonana naye, aliniambia wazi nitafute mtu mwingine! Nikajisemea isiwe kesi ila kifupi niliumia sana, kwanza nilimpenda pili nilikuwa mwaminifu sana...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Bima ikiiva piga moto jengo

    Watu humu wana mawazo ya kijima aisee [emoji3][emoji3]
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kama Taifa ni wapi tumekosea? Mbona kama Magufuli anaipoteza nchi??

    Hapo watetezi wa kufanya kazi kwa bidii huwa nashindwa kuwaelewa... Biashara haziendi kabisa, nina jirani yangu alikuwa anauza chokaa na cement leo kafunga biashara, sasa huyu ukisema aongeze juhudi anaongeza juhudi gani? Mi mwenyewe hapa nina biashara ya hardware..toka huu mwezi uanze sijawahi...
Back
Top Bottom