Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

Ametanga na njia sasa amerudi tena!!

Alipokuzidi ujanja ni hapo tu ulipozama bila kinga na huo ndo mtego wako alijua ungenasa.
 
Wametoa seal wengine na wewe ulikuwepo.
Wameotesha mahindi wengine, na wewe ulikuwepo.

Leo unapewa kazi ya kulinda tumbili. Aende tu asee
hahahahahahahah dah!
 
Baadhh ya wanawake sio kabisa.. Ukimpenda kwa dhati anakuchukulia we zombi tu! Ndio maana majuto siku zote ni mjukuu na si mtoto!
 
Ni miaka kama 7 imepita toka huyu mdada aniache pasipo sababu ya kueleweka, nilikuta tu mtu kaanza kunichunia..miezi ikapita na hata nilipokuja kuonana naye, aliniambia wazi nitafute mtu mwingine!

Nikajisemea isiwe kesi ila kifupi niliumia sana, kwanza nilimpenda pili nilikuwa mwaminifu sana kwake, baada ya hapo nilijaribu mara kadhaa kujaribu kumrudisha ila ikashindikana!

Sasa muda umepita, kazunguka huko na mtoto kazalishwa sasa anakuja kwangu! Anajaribu kuomba msamaha eti aliyoyafanya kipindi kile alikuwa wrong, mi nimeshindwa nimfanye nini wala sijamjibu chochote japo nimekula mzigo kimya kimya. Kwa kifupi mimi sina pa kumpeleka yeye na mwanae.

NB: Wanawake huwa mnawaza nini kurudi kwa wanaume mliowaumiza mwanzo? Hivi hata kama mtu alikupenda, upendo utabaki vile vile pamoja na kuzurula kote na kuja na mtoto eti mtu akupokee? Akili zenu huwa mnaziweka wapi?

The decision whether to forgive her or not is yours and yours alone to make.
 
Umefanya kosa la kiufundi, alipokutafuta ulitakiwa uende umsikilize anasema nini na usifanye chochote mara baada ya hapo ulitakiwa umpotezee.Usifikiri huyo kajileta bure bure kuna kitu amekilenga
 
Kipindi anarudi, atatafuta namba yako popote pale akishaipata atakutext, na mwanamke akiwa anatetea penzi lake atasema yote aliyokufanyia na maneno yakuomba msamaha yakiwa mengi sana. Km ulikuwa unabaniwa papuchi utapewa kila siku, utaitafuna mpaka uchoke.
Uko sahihi kabisa mkuu.
 
Back
Top Bottom