Recent content by BLOOD DIAMOND

  1. BLOOD DIAMOND

    Bei ya mafuta kushuka: Je, Wanaharakati na Wapinzani wanalijua hilo?

    Yaani huyu mwamba atakuwa yuko hoves sio akili yake
  2. BLOOD DIAMOND

    Young Africans Sports Club (Yanga) | Special Thread

    Kwema wanayanga wenzangu, naomba kuunganishwa na magroup ya wasap maana huko ni rahisi kupata updates, Kama Kuna mwenye link ya kujoin naomba aweke hapa ni-join
  3. BLOOD DIAMOND

    Majambazi Wakenya Walivyotikisa na Kuweka Historia Kanda ya Kaskazini Nchini Tanzania

    Muendelezo wa hii story ni lini bwana macho mbaya??? Tamu Sana babulai
  4. BLOOD DIAMOND

    Nashauri Serikali isitishe ujenzi wa daraja la Busisi, SGR na Makao Makuu Dodoma

    Hio akili iliotumika kuwaza hayo Mambo ulikuwa inatumika na watu wa Karne ya 15
  5. BLOOD DIAMOND

    CRDB Bank utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usaili wa kazi ni wa kibaguzi

    Shukrani Sana mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. BLOOD DIAMOND

    CRDB Bank utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usaili wa kazi ni wa kibaguzi

    Msaada kwa anaefaham please Sent using Jamii Forums mobile app
  7. BLOOD DIAMOND

    CRDB Bank utaratibu mnaotumia kuwaita watu kwenye usaili wa kazi ni wa kibaguzi

    Huo usaili ulifanywa kwa zones zote au ni Kanda ya mashariki/dar pekee?? Majibu pls.waungwana Sent using Jamii Forums mobile app
  8. BLOOD DIAMOND

    Kwanini Abeid Karume si Baba wa Taifa?

    Jibu ni rahisi mkuu,,nyerere ndio raisi wa kwanza was Tanzania, pili ndio raisi aliesave muda mrefu pia kaacha mafanikio mengi Tanzania I mean Zanzibar na Tanganyika Karume alikuwa raisi wa Zanzibar so hajaqulify kuwa baba wa Taifa labda aitwe baba wa Zanzibar
  9. BLOOD DIAMOND

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Hapo kwa linderlof mzee umepepesa,,yule Iceman ndio best defender Bora ktk ligi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. BLOOD DIAMOND

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Tukimuachia Herrera aende free itakuwa ni insanity ya karne,,,that man is genuine to his club Sent using Jamii Forums mobile app
  11. BLOOD DIAMOND

    Kutana na Raphael Tenthani - mtangazaji mchafu zaidi duniani

    In 2010, Tenthani won a UN Media Award for his work on the Millennium Development Goals Sent using Jamii Forums mobile app
  12. BLOOD DIAMOND

    Usikae kusubiria kazi yenye mshahara mkubwa

    Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  13. BLOOD DIAMOND

    Usikae kusubiria kazi yenye mshahara mkubwa

    Mtaji UPI kk hapo,,simu hio unayotumia kuingia jf itumie kupata pesa pia kk Sent using Jamii Forums mobile app
  14. BLOOD DIAMOND

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ninachokiamini wakenya wengi watatumia kigezo cha east Africa common market kuja kutafuta makazi bongo ili wapate neema zinazokuja after ten years,, but hii fursa nadra sana kuipata my president is watching your mind Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom