Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,277
- 105,475
Yani mtu hajaanza kazi tayari kashaanza kupanga masharti ya interview, akipata kazi je?kuongezea apa!
la kwanza, wewe kua offline wakati una shida ya kazi tayar ni inaonesha haupo serious
la pili hamna mtu anakusubiria simu ikizima wateja lazima waendelee kuhudumiwa! ata kama ilikua bahati yako kupata hio kazi lakini by default umeshaikosa, zoezi dogo tu ilo na ni interview tosha! we kama nan tukusubirie uwashe simu?na hii inaonyesha jinsi gan watanzania hatufanyi mambo in standard, kwa kifupi hatupo serious na maisha